Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
CR7 anatumika kuitangaza Saudi Arabia,na atawasaidia kama balozi watapowania kuandaa WC 2030
Sio lazima na wala haipo kwenye maandiko yoyote, Fifa wanaweza kufanya vyovyote vile.WC 2030 itakua ngumu sana kwa Asia maana baada ya America ni Africa, Europe then ndo Asia
Hata likija Afrika nchi zenye uwezo wa kimiundo mbinu ya kuandaa kombe la dunia ni Misri,morocco labda na Algelia ambao nao ni waarabu.WC 2030 itakua ngumu sana kwa Asia maana baada ya America ni Africa, Europe then ndo Asia
Na mengine mengiChakukatazwa wasifukuane mitaro kwenye nchi za watu?
Qatar imewapa somo hawatafanya tena mistakepesa ndo itaamua,WC ilikua ifanyike U.S & Canada lakini pesa ikabadili mambo.
KweliHawara yake yule, anaogopa kuoa, issue za divorce wealth split, mjanja sana
Hela ndo inaamua.Qatar imewapa somo hawatafanya tena mistake
Mkuu Rais wa FIFA kawekwa na watu, hayo maneno aliongea ku neutralise situation ukweli ni kwamba hayo mashetani hayawezi kukubaliRais wa FIFA si alitamka mbele ya kadamnasi bila kukwepesha kwamba pesa wamepiga Qatar ni balaa?
Sasa kipi tena hapo kinakufanya useme hawawezi kupeleka WC nchi za kiislam?
Labda tukusindikize kaburini tukakuzikeHatuwezi kusindikiza kila siku ipo siku tutasindikizwa tu
Kwani anaye amuwa nani ahandae kombe la dunia ni wazungu tu?Qatar imewapa somo hawatafanya tena mistake
[emoji3]unajua mwili ni kitu simple yet complicated,ukiamua kuishi simple tu kama Mmasai na shuka lake wala hauna shida ilimradi uwe na zile basic needs tu,lakini pia ukiamua ku complicate hata upewe dunia utaona haitoshi.Duuh hela zote hizo mwili mmoja tuu??
Hata likija Afrika nchi zenye uwezo wa kimiundo mbinu ya kuandaa kombe la dunia ni Misri,morocco labda na Algelia ambao nao ni waarabu.
Mm Morocco nawapa nafasi maana Wana viwanja vizuri sana hata miundo mbinu yao ya kiraia iko freshKuna possibility ya kwenda Egypt afu sahv hata Nchi 3 mnaweza ungana mka host.
Unakuta bado hapo hatoi hata mia yake mfukoni kulipiaa cku zt atakazokuwa anaishi hapo hotel balii n wazami au hyo hotel imeamua kujibrand kupitiaa yeye, aiseeee Ronaldo ana nyota ya pesaa na mke wake pia ananyotaa inaonekana .....na amuongoza jamaa vyemaa
Sent using Jamii Forums mobile app
WC 2030 itakua ngumu sana kwa Asia maana baada ya America ni Africa, Europe then ndo Asia
Wazungu washavulugwa walivyopigwa ban ya kupeleka uahoga qatar haqawezi kupelekea tena world cup uarabuniCR7 anatumika kuitangaza Saudi Arabia,na atawasaidia kama balozi watapowania kuandaa WC 2030