Ronaldo na kufuru yake nchini Saudi Arabia

Ronaldo na kufuru yake nchini Saudi Arabia

Rais wa FIFA si alitamka mbele ya kadamnasi bila kukwepesha kwamba pesa wamepiga Qatar ni balaa?

Sasa kipi tena hapo kinakufanya useme hawawezi kupeleka WC nchi za kiislam?
Mkuu Rais wa FIFA kawekwa na watu, hayo maneno aliongea ku neutralise situation ukweli ni kwamba hayo mashetani hayawezi kukubali
 
Qatar imewapa somo hawatafanya tena mistake
Kwani anaye amuwa nani ahandae kombe la dunia ni wazungu tu?
Mm ninacho jua mwenyeji huwa anaamuliwa kwa kupigiwa kura na nchi wanachama wa fifa dunia nzima atakeye pata kula nyingi ndo ana kuwa mwenyeji.
 
Duuh hela zote hizo mwili mmoja tuu??
[emoji3]unajua mwili ni kitu simple yet complicated,ukiamua kuishi simple tu kama Mmasai na shuka lake wala hauna shida ilimradi uwe na zile basic needs tu,lakini pia ukiamua ku complicate hata upewe dunia utaona haitoshi.

Leo hii Elon Musk anataka akaishi Mars,dunia ameichoka,lakini unaweza kukuta hata dunia yenyewe hajaimaliza kujua uzuri wake,inawezekana hata Serengeti yetu hajawahi kufika.

Ndio maana Mfalme Suleiman pamoja na utajiri wote ule na fahari yake na wake zake mwishowe akasema yote hayo ni ubatili mtupu.
 
"Sasa jamaa anapiga hela hivyo halafu eti ndio wengine wanamwambia astaafu mpira eti aache hizi hela za bwerere."

Mimi mwenyewe ningecheza mpira Hadi na mkongojo🤣
 
Unakuta bado hapo hatoi hata mia yake mfukoni kulipiaa cku zt atakazokuwa anaishi hapo hotel balii n wazami au hyo hotel imeamua kujibrand kupitiaa yeye, aiseeee Ronaldo ana nyota ya pesaa na mke wake pia ananyotaa inaonekana .....na amuongoza jamaa vyemaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanasema Penye fungu ndipo penye Nyoongeza
 
Back
Top Bottom