Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Dah! Ukweli mchungu kabisa huu. Yaani unakuta mtu unapambana, lakini wapi!Tutasindikizwa kuoa na makaburini 😂
Vikwazo kama vyote! Kuanzia kwenye familia zetu, jamii, serikali, nk. Kote ni vikwazo tu. Wacha tusindikize tu wengine aisee. Maana hakuna namna nyingine.