Ronaldo na kufuru yake nchini Saudi Arabia

Dah! Ukweli mchungu kabisa huu. Yaani unakuta mtu unapambana, lakini wapi!

Vikwazo kama vyote! Kuanzia kwenye familia zetu, jamii, serikali, nk. Kote ni vikwazo tu. Wacha tusindikize tu wengine aisee. Maana hakuna namna nyingine.
Mguu wake unamfanya alipwe karibia bilioni 500 kwa mwaka.
Wengine miguu yetu tunapigia kick bodaboda 😂🤣😂😂

N.b sikashifu bodaboda ni masihara tu
 
Ila pesa zikiwa nyingi sana zinamaliza utamu wake!! Kwa mfano Ronaldo hawezi hata akakumbuka siku ngapi zimebaki ili apate mshahara wake!!
 
Dah! Ukweli mchungu kabisa huu. Yaani unakuta mtu unapambana, lakini wapi!

Vikwazo kama vyote! Kuanzia kwenye familia zetu, jamii, serikali, nk. Kote ni vikwazo tu. Wacha tusindikize tu wengine aisee. Maana hakuna namna nyingine.
Halafu unaishabikia Yanga. Mchawi ni wewe mwenyewee 🤣😂🤣
 
Ila pesa zikiwa nyingi sana zinamaliza utamu wake!! Kwa mfano Ronaldo hawezi hata akakumbuka siku ngapi zimebaki ili apate mshahara wake!!
Kuna kiwango kikishazidi hakina maana tena ni pesa ambayo hata hautaigusa. Kwanza kukaa hotelini kwa muda mrefu sidhani kama kuna enjoyment na privacy, labda wamefanya hivyo ili iwe rahisi kumpa ulinzi.

Ndiyo maana kuwa na ambitions kubwa zaidi ya enjoyment yako binafsi ni muhimu sana katika maisha. Unaweza kusomesha watu, kuaddress issue muhimu kwako kama za mazingira, wanawake, afya, watoto, nk.
 
Back
Top Bottom