Dah! Ukweli mchungu kabisa huu. Yaani unakuta mtu unapambana, lakini wapi!Tutasindikizwa kuoa na makaburini π
Mguu wake unamfanya alipwe karibia bilioni 500 kwa mwaka.Dah! Ukweli mchungu kabisa huu. Yaani unakuta mtu unapambana, lakini wapi!
Vikwazo kama vyote! Kuanzia kwenye familia zetu, jamii, serikali, nk. Kote ni vikwazo tu. Wacha tusindikize tu wengine aisee. Maana hakuna namna nyingine.
Mkuu huo mzunguko wa mabara ulishafutwa, WC kuja afrika kwa kizazi hiki sahauWC 2030 itakua ngumu sana kwa Asia maana baada ya America ni Africa, Europe then ndo Asia
Ni vizuri akiokoka halafu mwisho wa siku afike mbinguni. Ukiishi maisha ya starehe duniani halafu ukaishia jehanamu ni balaa sana!!Jamaa ana nyota ya pesa
Ila pesa zikiwa nyingi sana zinamaliza utamu wake!! Kwa mfano Ronaldo hawezi hata akakumbuka siku ngapi zimebaki ili apate mshahara wake!!Mguu wake unamfanya alipwe karibia bilioni 500 kwa mwaka.
Wengine miguu yetu tunapigia kick bodaboda ππ€£ππ
N.b sikashifu bodaboda ni masihara tu
Bora hata nyie mliopata fursa ya kusindikizaπππππ wengine tulishapewa mkono wa kwaheri kabisa mgeni hataki hata tumsindikizeKabisa.. Sie wengine tumekuja kusindikiza wenzetuπ
Pesa inaongea sio hisiaKilicho wapata Qatar hawawezi tena kurudia kupeleka Worldcup nchi zenye sheria za kiisramu
Halafu unaishabikia Yanga. Mchawi ni wewe mwenyewee π€£ππ€£Dah! Ukweli mchungu kabisa huu. Yaani unakuta mtu unapambana, lakini wapi!
Vikwazo kama vyote! Kuanzia kwenye familia zetu, jamii, serikali, nk. Kote ni vikwazo tu. Wacha tusindikize tu wengine aisee. Maana hakuna namna nyingine.
Kuna kiwango kikishazidi hakina maana tena ni pesa ambayo hata hautaigusa. Kwanza kukaa hotelini kwa muda mrefu sidhani kama kuna enjoyment na privacy, labda wamefanya hivyo ili iwe rahisi kumpa ulinzi.Ila pesa zikiwa nyingi sana zinamaliza utamu wake!! Kwa mfano Ronaldo hawezi hata akakumbuka siku ngapi zimebaki ili apate mshahara wake!!