Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Baada ya kutumia sigara kubwa ndip ukaandika hapa
 
Mleta thred kaongea ukweli na wewe umechemka
 
Lete Data kutetea maneno yako, unajua Record za Madrid pale Camp Nou? Madrid ya msimu uliopita ilikuwa ni nzuri sn na haikuwa na majeruhi mengi kama sasa na ikakaa Camp Nou. Madrid hana uwezo wa kuchomoka Camp Nou.
 
Haaahaaha, hakuna cha data hapa. Match hiyo ipo open sana, usiifananishe madrid ya mourinho na hii ya Anceloti, msimu uliopita barca alikaa na kuambulia sare, na msimu huu first leg amekaa. Just wait and see, kumfunga kwenu atletico sio guarantee kuwa mtaifunga The galactico kirahisi.

Mpaka kufikia march 22 modric, ramos, james watakuwa wamesharejea.

Lets wait and see.
 
Mkuu wewe unazungumzia Barca ipi?
Msimu uliopita Barca alimpiga Madrid nje ndani kwenye ligi.
Kombe la mfalme dakika 90 ziliisha ikawa Bila bila. Dakika za nyongeza Madrid akashinda.
Niletee Data zinazoonesha Barca alikaa kwa Madrid na kuambulia Sare.
 
Ww ni moja kati ya wafuatiliaji wazuri wa soka ususani premiera divisio yani ligi kuu soka nchini spain hasa pale la masaih watoto wa catalunya huo ndio wasifu wa messi anaangalia ataisaidia vp timu kwa wakat husika
 
Ronaldo tangu kapata ballon dor dec mwaka jana kafunga goli 3 tu katika mechi 12
 
mkuu hujui unachosema
 
Ww ni moja kati ya wafuatiliaji wazuri wa soka ususani premiera divisio yani ligi kuu soka nchini spain hasa pale la masaih watoto wa catalunya huo ndio wasifu wa messi anaangalia ataisaidia vp timu kwa wakat husika

Sina hakika kama Madrid atabeba kombe lolote msimu huu.
 
Kitu kimoja nachomshukuru Mungu, ni kumleta Messi katika kipindi hiki ambacho namshuhudia nikiwa sijaanza kutumia miwani.

Kitu kimoja watu hawakijui, Laiti mpira ungekuwa unaongea, halafu uulize mpira nani anautendea haki kati ya Messi na Ronaldo, bila shaka mpira ungejibu ni Lionel Messi.

Ni dhambi kubwa sana kuwafananisha hawa watu.
 
Bahati mbaya huwa hamrudi kuleta mrejesho. Ila this time nimewaandika kwa wino, mwisho wa msimu nitawaita hapa tuone nani kapata nini.
 
Bahati mbaya huwa hamrudi kuleta mrejesho. Ila this time nimewaandika kwa wino, mwisho wa msimu nitawaita hapa tuone nani kapata nini.

tayari Ronaldo kaaga kombe moja. Kombe la mfalme.
Hana mda mrefu atachomoka kileleni mwa ligi.
Huu msimu Ronaldo habebi kitu.
 
Bangi bhana Ronaldo ana magoli 28 messi26.wavuta bangi wanaona messy kafunga zaidi.hivi 28 na 26 ni sawa.tupende kwa kipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…