MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Kwa malkia ni pagumu,sizani messi akija kama atapiga hata hattrik moja.ndio maana andunje anaogopa kuhama spain maana ufalme wake utabakia historia
mbona kaipiga arsenal nne ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa malkia ni pagumu,sizani messi akija kama atapiga hata hattrik moja.ndio maana andunje anaogopa kuhama spain maana ufalme wake utabakia historia
Kweli arsenal 0 mesi 4
Mkuu Messi hahitaji kwenda ligi yoyote kuthibitisha ubora wake, Messi ni bora hata kama anapiga danadana peke yake kwenye mazoezi. Kwa sababu mchezo wa mpira wa miguu unahitaji wachezaji kumi na moja ndo maana kuna umhimu wa kuwa kwenye timu na ili uonekane bora na unahitaji kuwa na watu wengine bora ili kuunda timu bora. Messi akienda EPL na akakutana na watu bora ataonekana bora tu lakini kama atakutana na watu ambao sio bora basi ubora wake unaweza usionekane, na hii inathibitishwa na Ronaldo, pamoja na ubora alionao kwenye laliga lakini akija kwenye timu yake ya Taifa ubora wake hausaidii chochote na hauonekani kabisa.Ili messi athibishe yeye ni bora ahame spain aje kwa malkia afu.tuone magoli yake ya ukweli au ya mchina
Tangu mtoto ndio kigezo hovyo kuliko vyote mnavyovitoa Messi kaanza kucheza timu ya wakubwa lini ? kama mchezaji wa kikosi cha kwanza ?halafu Messi ni mdogo kwa Ronaldo two years halafu mtu mzima kufunikwa na mdogo wako ni aibu achana na ugonjwa uliompata Messi wa kutokukua bado unabishana tu ?
kakaa misimu sita kachukua ufungaji bora mara moja bado unasema katesa ?
katesa nini ?
ndio maana nilisema hivi
Messi ameanza kuchezea la liga mwaka 2004 wakati ronaldo ameanza kuchezea la liga mwaka 2009 yaan miaka 5 baadaye. Kwa taarifa yako kasi ya kufumania nyavu R7 hana mshindani sayari hii! Angalia linaweza niliyotoa humu jamvini.
uingereza kakaa misimu sita kachukua ufungaji bora mara moja kwa nini ?
Cr7 ni bonge moja la mchezaji lakini sikuzote naona kama yuko obsessed na Messi..kila kitu anachofanya ni kama anamfukizia Messi tu...Wakati Messi yupo busy kufukuzia record za kina Maradona, Telmo Zarra, Pele, Godfrey Chitalu etc...."while Messi is chasing for greatness, cr7 is chasing Messi"
Yeye messy kashawahi kugusa hapo uingereza?
Cr7 ni bonge moja la mchezaji lakini sikuzote naona kama yuko obsessed na Messi..kila kitu anachofanya ni kama anamfukizia Messi tu...Wakati Messi yupo busy kufukuzia record za kina Maradona, Telmo Zarra, Pele, Godfrey Chitalu etc...."while Messi is chasing for greatness, cr7 is chasing Messi"
Laugh again at Cristiano scoring Penalties? You call him PENALDO just because he can score penalties, Your favourite man can't even score from the spot, haters!
Cristiano can score penalties, can score deadly headers.The most complete player!
Comparison (including shootouts)[Via: MrchipEng] :
> Messi has missed 13 of 59 penalties with Barca
> Cristiano has missed 5 of 59 penalties with Madrid
Unaanzaje kumfananisha Ronaldo na messi?... Me nampenda ronaldo ila kwa messi ni kesi nyingine bro!