Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Magoli siyo kigezo pekee ambacho Ronaldo ana mziki Messi. Ronaldo ni mchezaji aliyekamilika wakati Messi ni mchezaji mwenye mapungufu mengi sana. Wakati miguu yote ya Ronaldo inafanya kazi kupiga mashuti, Messi anatumia mguu wa kushoto kwa zaidi ya ajili miaka 95. Matumizi ya kichwa kwa Messi ni kama Kakakuona kama ilivyotokea juzi, lakini kichwa cha Ronaldo ni habari nyingineeeeee. Uwezo wa kwenda hewani kugombea mpira Messi ni cha mtoto lakini RONALDO ni habari nyingine. Labda uwezo wa kukimbia hapo ndipo wanaweza kula sahani Moja!
MGUU WA KUSHOTO KICHWA VYOTE HIVYO NI UPANDE MAGOLI.

Tuangalie
1 vision
2 ball control
3 dribbling
4 uwezo wa kutengeneza chances
5 uwezo wa kutengeneza something out of nothing
6. Ronaldo ana speed kubwa zaidi ila messi ana acceleration kubwa
7. Team play
 
Exactly!
Ronaldo ukiondoa magoli hamna kitu pale.
Messi ni fundi wa kutengeneza magoli na ni bonge moja la playmaker.
Uwezo wa messi mkubwa upo kwenye dribbling, ball control, passing (angaliegi mapande anayotengeneza, na labda kufunga magoli.
Sasa ronaldo anashindana na messi kwenye hicho kipengele cha magoli, vingine vyote messi anakimbiza mbali sana na wanaomfuatia ni hawa akina robben, neymar, na watu kama hao.
Ronaldo as a player ni average ila as a goalscorer ni a top two player

Sasa ukiondoa magoli utakuwa umeachana na mpira wa Miguu! na utakuwa unaongelea kitu kingine kabisa! Mchezo wa mpira wa miguu huwezi kuutenganisha na magoli! Angalau sasa mashabiki wa Messi wamewekewa takwimu zilizowafungua macho kuona kuwa hakuna mchezaji aliyewahi kutokea duniani mwenye kasi ya kufunga magoli kwa wastani wa goli 1.12 kwa mechi isipokuwa R7! Huyo Messi hana uwezo wa kupata hata goli moja kwa mechi! inabidi akope dakika kwenye mechi ya pili kuweza kupata goli moja. Wastani wa Messi ni goli 0.89 kwa mechi. Messi ni historia, habari iliyopo sasa kwenye ulimwengu wa soka ni R7!
 
Umerudi tena kwenye statistics za magoli.
Kwa hiyo unayosema wewe mimi sina shida nayo.
Ronaldo amekuja la liga wakati ni mchezaji aliyemature/mzoefu tayari wakati messi ameanza la liga tangu akiwa na miaka 16 kipindi kile ambacho anacheza game 4 kwa msimu mpaka sasa

Ndugu yangu kuna aspects nyingi za mpira.
Kwani wachezaji wote tunaowatambua katika historia kama malegend wa mpira wote walikuwa wafungaji wa magoli mengi kwa msimu?
Mfano ronaldinho, zidane, maradona, garrincha, cruyff wanakumbukwa kwa kufunga magoli? Au ubora wao ni kutokana na magoli waliyofunga?
 
Sasa ukiondoa magoli utakuwa umeachana na mpira wa Miguu! na utakuwa unaongelea kitu kingine kabisa! Mchezo wa mpira wa miguu huwezi kuutenganisha na magoli! Angalau sasa mashabiki wa Messi wamewekewa takwimu zilizowafungua macho kuona kuwa hakuna mchezaji aliyewahi kutokea duniani mwenye kasi ya kufunga magoli kwa wastani wa goli 1.12 kwa mechi isipokuwa R7! Huyo Messi hana uwezo wa kupata hata goli moja kwa mechi! inabidi akope dakika kwenye mechi ya pili kuweza kupata goli moja. Wastani wa Messi ni goli 0.89 kwa mechi. Messi ni historia, habari iliyopo sasa kwenye ulimwengu wa soka ni R7!

Na hiyo kasi yako unayosema haipo accurate haijaangalia kwamba messi la liga ameanza tangu mtoto hivyo kasi yake kwa kipindi hicho ilikuwa ndogo na inashusha wastani chini wakati ronaldo ameanza la liga wakati ni mfungaji mzoefu.

Hata hivyo nnavyofahamu
Messi amebeba historia ya magoli la liga, na historia ya assists

Na vigezo vingine nimezungumzia hapo juu
1. Vision
Ni mara ngapi messi anaona na anapiga pasi ambazo mtu mwingne hawezi kudhania?
Messi kila msimu anaongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi Za kufunga na hata kwenye world cup pia
2. Kuna pasi ambazo messi anapiga kila siku na ronaldo hata afanyeje hawezi kupiga
3. Dribbling
Hapo wamemuacha wengi sana ronaldo.
Messi ni best dribbler in the world.
Wakati ronaldo kwa pale la liga tu ni wa 400 na kitu kwa idadi ya completed dribbles
5. Freekick
Messi ana a higher conversion rate ya freekick kuliko ronaldo
6. Messi msimu huu anaongoza kwa kufunga magoli ya miguu yote wa kulia na wa kushoto la liga

Ronaldo sawa anaweza kupiga vichwa lakini mimi naamini goli la kichwa au la tumbo hamna tofauti yoyote. Goli la kichwa haliandikwi na star juu yake.

Speed ronaldo anamzidi messi
Lakini acceleration na agility messi ni zaidi na ndiyo maaana kwenye dribblin messi anaweza kuchukua kijiji na kukiacha wakati ronaldo anaishia kuanguka na kutafuta faulo

In the end
Ronaldo is a equal level goalscorer but messi is a better footballer
 
Ronaldo ana wastani wa kufunga magoli 1.1 kwa kila mechi ya la liga, wakati. Messi ana wastani wa kufunga goli 0.9 kwa kila mechi ya la liga. Kwa kigezo hicho cha kitaalam Ronaldo ana kasi zaidi ya kufunga magoli kuliko Messi na kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kuchezea la liga. Ndiyo maana Ronaldo alivunja rekodi ya kufikisha magoli 100 kwenye la liga kwa kucheza mechi chache zaidi.

Ukienda UEFA mesi amefikisha magoli 75 katika mechi 93 wastani wa 0.81 kwa mechi na Ronaldo amefikisha magoli 75 katika mechi 111 wastani wa 0.68 kwa mechi. Kuna uwezekano mkubwa akafikisha magori 80 akiwa chini ya mechi 100. Ni mchezaji pekee aliyefunga magoli zaidi ya sabini akiwa na mechi pungufu ya 100. Zikija takwimu za masaa waliyocheza uwanjani na magoli waliyofunga mesi ataendelea kua juu maana misimu karibu mitatu ya kwanza alikua anacheza mda mfupi.
 
Magoli siyo kigezo pekee ambacho Ronaldo ana mziki Messi. Ronaldo ni mchezaji aliyekamilika wakati Messi ni mchezaji mwenye mapungufu mengi sana. Wakati miguu yote ya Ronaldo inafanya kazi kupiga mashuti, Messi anatumia mguu wa kushoto kwa zaidi ya ajili miaka 95. Matumizi ya kichwa kwa Messi ni kama Kakakuona kama ilivyotokea juzi, lakini kichwa cha Ronaldo ni habari nyingineeeeee. Uwezo wa kwenda hewani kugombea mpira Messi ni cha mtoto lakini RONALDO ni habari nyingine. Labda uwezo wa kukimbia hapo ndipo wanaweza kula sahani Moja!
Huo mguu mmoja ndo uliompa uchezaji bora wa dunia mara4 Na ndio huo unomnyima ronaldo usingizi
 
Unaongelea historia! Mchezaji bora wa dunia kwa sasa ni R7 huo ndio ukweli! Kuchezea mguu mmoja ni upungufu mkubwa na huo ndio ukweli! Muda si mrefu Messi tutakuwa tunamtafuta kwenye jumba la makumbusho!
 
Na hiyo kasi yako unayosema haipo accurate haijaangalia kwamba messi la liga ameanza tangu mtoto hivyo kasi yake kwa kipindi hicho ilikuwa ndogo na inashusha wastani chini wakati ronaldo ameanza la liga wakati ni mfungaji mzoefu.

Hata hivyo nnavyofahamu
Messi amebeba historia ya magoli la liga, na historia ya assists

Na vigezo vingine nimezungumzia hapo juu
1. Vision
Ni mara ngapi messi anaona na anapiga pasi ambazo mtu mwingne hawezi kudhania?
Messi kila msimu anaongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi Za kufunga na hata kwenye world cup pia
2. Kuna pasi ambazo messi anapiga kila siku na ronaldo hata afanyeje hawezi kupiga
3. Dribbling
Hapo wamemuacha wengi sana ronaldo.
Messi ni best dribbler in the world.
Wakati ronaldo kwa pale la liga tu ni wa 400 na kitu kwa idadi ya completed dribbles
5. Freekick
Messi ana a higher conversion rate ya freekick kuliko ronaldo
6. Messi msimu huu anaongoza kwa kufunga magoli ya miguu yote wa kulia na wa kushoto la liga

Ronaldo sawa anaweza kupiga vichwa lakini mimi naamini goli la kichwa au la tumbo hamna tofauti yoyote. Goli la kichwa haliandikwi na star juu yake.

Speed ronaldo anamzidi messi
Lakini acceleration na agility messi ni zaidi na ndiyo maaana kwenye dribblin messi anaweza kuchukua kijiji na kukiacha wakati ronaldo anaishia kuanguka na kutafuta faulo

In the end
Ronaldo is a equal level goalscorer but messi is a better footballer

Ronaldo pia alipotoka sporting lisbon kwenda man u alikuwa mdogo. Tunaangalia magoli ya Messi tangu alipoanza kuchezea timu ya wakubwa la Liga!
 
Unaongelea historia! Mchezaji bora wa dunia kwa sasa ni R7 huo ndio ukweli! Kuchezea mguu mmoja ni upungufu mkubwa na huo ndio ukweli! Muda si mrefu Messi tutakuwa tunamtafuta kwenye jumba la makumbusho!

kama ni upungufu anapata vp uchezaji bora wa dunia mara4?hao wazima mbona wameshindwa kufika alipo yeye akiwamo ronaldo na kama historia zisingekuwepo pele au maradona tusingewazumzia kama ni magwiji katika soka zote historia ila bado zinaiishi na ndo maana kuna kitu kinatwa record
 
Ronaldo pia alipotoka sporting lisbon kwenda man u alikuwa mdogo. Tunaangalia magoli ya Messi tangu alipoanza kuchezea timu ya wakubwa la Liga!
Na magoli ya Ronaldoo tunaanzia wapi.
Lengo hapa ni kupata range ya muda ambao utatenda haki kwa wachezaji wote.
huwezi ukachukua kasi ya ronaldo kuanzia alipokuja la liga akia tayari mchezaji mkongwe ukalinganisha na kasi ya messi tangu alipokuwa mchanga hadi sasa hata siku moja haitakupa picha halisi
 
kama ni upungufu anapata vp uchezaji bora wa dunia mara4?hao wazima mbona wameshindwa kufika alipo yeye akiwamo ronaldo na kama historia zisingekuwepo pele au maradona tusingewazumzia kama ni magwiji katika soka zote historia ila bado zinaiishi na ndo maana kuna kitu kinatwa record

Ronaldo ni mchezaji bora wa dunia mara 3 na ndiye anashikilia nafasi hiyo kwa sasa, Hivyo mwaka huu ana nafasi ya kushinda tena nafasi hiyo hivyo naye kushinda mara 4!
 
Na magoli ya Ronaldoo tunaanzia wapi.
Lengo hapa ni kupata range ya muda ambao utatenda haki kwa wachezaji wote.
huwezi ukachukua kasi ya ronaldo kuanzia alipokuja la liga akia tayari mchezaji mkongwe ukalinganisha na kasi ya messi tangu alipokuwa mchanga hadi sasa hata siku moja haitakupa picha halisi

Ili kutenda haki tunahesabu magoli waliyofunga kwenye ligi kuu kuanzia 2004/05 wakati Messi alianza kuchezea timu ya wakubwa la liga na Ronaldo akiwa man u kisha alipohamia madrid mpaka sasa. Soma post yangu namba #118 kwenye uzi huu.
 
Sasa Messi ndio yuko chini kwa magoli 4
 
Magoli siyo kigezo pekee ambacho Ronaldo ana mziki Messi. Ronaldo ni mchezaji aliyekamilika wakati Messi ni mchezaji mwenye mapungufu mengi sana. Wakati miguu yote ya Ronaldo inafanya kazi kupiga mashuti, Messi anatumia mguu wa kushoto kwa zaidi ya ajili miaka 95. Matumizi ya kichwa kwa Messi ni kama Kakakuona kama ilivyotokea juzi, lakini kichwa cha Ronaldo ni habari nyingineeeeee. Uwezo wa kwenda hewani kugombea mpira Messi ni cha mtoto lakini RONALDO ni habari nyingine. Labda uwezo wa kukimbia hapo ndipo wanaweza kula sahani Moja!
Ingekuwa uwanjani kunakuwa na mipira miwili kwa muda mmoja basi tungeona umuhimu wa kutumia miguu yote miwili lakini sasa mpira ni mmoja hivyo hakuna mchezaji atakayeweza kutumia miguu miwili at the same time, kwa hiyo katika muda fulani mguu unaotumika ni mmoja kwa mpira mmoja. Kama Messi ana uhakika na mguu wake mmoja basi halazimiki sana kuhitaji huo mguu mwingine kwa ajili ya kupiga mpira sana sana atauhitaji kwa ajili ya kumpa balance ili aweze kuwapiga chenga vizuri.
 
huyu messi msije kumfananisha na yule bishoo leo wamepata vibonde wamewafanya wanavyotaka subirini tarehe 14 mtawajua ni nani atletico
 
Back
Top Bottom