Sasa ukiondoa magoli utakuwa umeachana na mpira wa Miguu! na utakuwa unaongelea kitu kingine kabisa! Mchezo wa mpira wa miguu huwezi kuutenganisha na magoli! Angalau sasa mashabiki wa Messi wamewekewa takwimu zilizowafungua macho kuona kuwa hakuna mchezaji aliyewahi kutokea duniani mwenye kasi ya kufunga magoli kwa wastani wa goli 1.12 kwa mechi isipokuwa R7! Huyo Messi hana uwezo wa kupata hata goli moja kwa mechi! inabidi akope dakika kwenye mechi ya pili kuweza kupata goli moja. Wastani wa Messi ni goli 0.89 kwa mechi. Messi ni historia, habari iliyopo sasa kwenye ulimwengu wa soka ni R7!
Na hiyo kasi yako unayosema haipo accurate haijaangalia kwamba messi la liga ameanza tangu mtoto hivyo kasi yake kwa kipindi hicho ilikuwa ndogo na inashusha wastani chini wakati ronaldo ameanza la liga wakati ni mfungaji mzoefu.
Hata hivyo nnavyofahamu
Messi amebeba historia ya magoli la liga, na historia ya assists
Na vigezo vingine nimezungumzia hapo juu
1. Vision
Ni mara ngapi messi anaona na anapiga pasi ambazo mtu mwingne hawezi kudhania?
Messi kila msimu anaongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi Za kufunga na hata kwenye world cup pia
2. Kuna pasi ambazo messi anapiga kila siku na ronaldo hata afanyeje hawezi kupiga
3. Dribbling
Hapo wamemuacha wengi sana ronaldo.
Messi ni best dribbler in the world.
Wakati ronaldo kwa pale la liga tu ni wa 400 na kitu kwa idadi ya completed dribbles
5. Freekick
Messi ana a higher conversion rate ya freekick kuliko ronaldo
6. Messi msimu huu anaongoza kwa kufunga magoli ya miguu yote wa kulia na wa kushoto la liga
Ronaldo sawa anaweza kupiga vichwa lakini mimi naamini goli la kichwa au la tumbo hamna tofauti yoyote. Goli la kichwa haliandikwi na star juu yake.
Speed ronaldo anamzidi messi
Lakini acceleration na agility messi ni zaidi na ndiyo maaana kwenye dribblin messi anaweza kuchukua kijiji na kukiacha wakati ronaldo anaishia kuanguka na kutafuta faulo
In the end
Ronaldo is a equal level goalscorer but messi is a better footballer