Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Kwa malkia ni pagumu,sizani messi akija kama atapiga hata hattrik moja.ndio maana andunje anaogopa kuhama spain maana ufalme wake utabakia historia

mbona kaipiga arsenal nne ??
 
Ili messi athibishe yeye ni bora ahame spain aje kwa malkia afu.tuone magoli yake ya ukweli au ya mchina
 
Ili messi athibishe yeye ni bora ahame spain aje kwa malkia afu.tuone magoli yake ya ukweli au ya mchina
Mkuu Messi hahitaji kwenda ligi yoyote kuthibitisha ubora wake, Messi ni bora hata kama anapiga danadana peke yake kwenye mazoezi. Kwa sababu mchezo wa mpira wa miguu unahitaji wachezaji kumi na moja ndo maana kuna umhimu wa kuwa kwenye timu na ili uonekane bora na unahitaji kuwa na watu wengine bora ili kuunda timu bora. Messi akienda EPL na akakutana na watu bora ataonekana bora tu lakini kama atakutana na watu ambao sio bora basi ubora wake unaweza usionekane, na hii inathibitishwa na Ronaldo, pamoja na ubora alionao kwenye laliga lakini akija kwenye timu yake ya Taifa ubora wake hausaidii chochote na hauonekani kabisa.

Kwa ishu ya kufunga akienda ligi yoyote lazima atafunga tu na hili amethibitisha kwenye ligi ya mabingwa amezifunga timu nyingi kutoka ligi mbali mbali.

Diego Costa na Alex Sanchez wako juu kwenye list ya wafungaji wa EPL na wametoka Laliga ambako Messi alikuwa akiwafunika, wao wameweza kwa nini Messi ashindwe?
 
Tangu mtoto ndio kigezo hovyo kuliko vyote mnavyovitoa Messi kaanza kucheza timu ya wakubwa lini ? kama mchezaji wa kikosi cha kwanza ?halafu Messi ni mdogo kwa Ronaldo two years halafu mtu mzima kufunikwa na mdogo wako ni aibu achana na ugonjwa uliompata Messi wa kutokukua bado unabishana tu ?

kakaa misimu sita kachukua ufungaji bora mara moja bado unasema katesa ?
katesa nini ?
ndio maana nilisema hivi

Messi ameanza kuchezea la liga mwaka 2004 wakati ronaldo ameanza kuchezea la liga mwaka 2009 yaan miaka 5 baadaye. Kwa taarifa yako kasi ya kufumania nyavu R7 hana mshindani sayari hii! Angalia linaweza niliyotoa humu jamvini.
 
Angalia link niliyotoa humu jamvini kuthibitisha kasi ya R7 kufumania nyavu
 
Messi ameanza kuchezea la liga mwaka 2004 wakati ronaldo ameanza kuchezea la liga mwaka 2009 yaan miaka 5 baadaye. Kwa taarifa yako kasi ya kufumania nyavu R7 hana mshindani sayari hii! Angalia linaweza niliyotoa humu jamvini.

imgekua ronaldo nuksi kwa kufunga asingefichwa kwenye kivuli cha henry miaka yote mpaka alipoondoka inaonekana hamuwezi hata henry

halafu taja mchezaji wa miaka 16 anayecheza kwenye timu yako ndio umri aliokua nao messi miaka 10 iliyopita
tatizo unaandika kwa mahaba sana bila kufikiria
 
Cr7 ni bonge moja la mchezaji lakini sikuzote naona kama yuko obsessed na Messi..kila kitu anachofanya ni kama anamfukizia Messi tu...Wakati Messi yupo busy kufukuzia record za kina Maradona, Telmo Zarra, Pele, Godfrey Chitalu etc...."while Messi is chasing for greatness, cr7 is chasing Messi"
 
Mdau umenikumbusha huyo "chitalu" wazambia walitaka waandamane jamaa aingie "guiness book of record".
 
Unaanzaje kumfananisha Ronaldo na messi?... Me nampenda ronaldo ila kwa messi ni kesi nyingine bro!
 
Cr7 ni bonge moja la mchezaji lakini sikuzote naona kama yuko obsessed na Messi..kila kitu anachofanya ni kama anamfukizia Messi tu...Wakati Messi yupo busy kufukuzia record za kina Maradona, Telmo Zarra, Pele, Godfrey Chitalu etc...."while Messi is chasing for greatness, cr7 is chasing Messi"

Nimeipenda hii ni ukweli mtupu
 
Laugh again at Cristiano scoring Penalties? You call him PENALDO just because he can score penalties, Your favourite man can't even score from the spot, haters!
Cristiano can score penalties, can score deadly headers.The most complete player!

Comparison (including shootouts)[Via: MrchipEng] :
> Messi has missed 13 of 59 penalties with Barca
> Cristiano has missed 5 of 59 penalties with Madrid
 
So Ronaldo missed 5 out of 59 penalties, then a few haters calls him Penaldo.

Messi missed 13 out of 59 penalties. Can a few haters call him Missi?

Let's appreciate the two for their achievements while working for our own achievements.
 
Messi ameendelea kuwika jana kwa kupachika mabao matatu (hat-trick)
 
Back
Top Bottom