Bangi bhana Ronaldo ana magoli 28 messi26.wavuta bangi wanaona messy kafunga zaidi.hivi 28 na 26 ni sawa.tupende kwa kipimo.
ila mkuu kumbuka messi aliachwa mabao 14 na ronaldo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi bhana Ronaldo ana magoli 28 messi26.wavuta bangi wanaona messy kafunga zaidi.hivi 28 na 26 ni sawa.tupende kwa kipimo.
Bangi bhana Ronaldo ana magoli 28 messi26.wavuta bangi wanaona messy kafunga zaidi.hivi 28 na 26 ni sawa.tupende kwa kipimo.
Najua ila naye Ronaldo wakati anafunga messy si alikuwa hafungi nae.mfano Leo ligi iishe nani atakuwa mfungaji bora. Watu mnataka kutuaminisha ronaldo ni mbovu wakati pindi akifunga nae messi alsimama kufunga.mapenzi yakizidi huharibu mkuu,ila mkuu kumbuka messi aliachwa mabao 14 na ronaldo
Sasa kiongozi hapo kwenye hat trik anatakiwa asifiwe nani?cos CR7 kamkuta andunje laliga na kuweza kupiga hat trik 23 andunje akiwemo hapo laliga so alichofanya andunj kumfikia CR7 so hahitaji sifa hzo,mtu anakukuta kwenye lig una miaka mingi pale yeye anafanya maajabu yake ww unamfikia nani yupo juu sasa kama sio CR7 kwenye hili la hat trkPia Ronaldo alikuwa na Historia ya Hat Trick 23 La Liga huku Messi akiwa na 21. Ila kwa sasa wote wapo sawa.
Nampenda sana Messi, hana madoido ya kijinga uwanjani, anachoangalia yeye ni namna gani anaweza akasaidia timu ikapata ushindi ndani ya Uwanja mda wowote.
Nimemuona Ronaldinho akiwa Barca ila kwa Messi hapana aiseee.
Cristiano umri unaenda, Messi ndo kwanza ana 27. Messi ana nafasi kubwa ya kuweka Record nyingi zaidi hapa duniani.
Kula tano kiongoziNajua ila naye Ronaldo wakati anafunga messy si alikuwa hafungi nae.mfano Leo ligi iishe nani atakuwa mfungaji bora. Watu mnataka kutuaminisha ronaldo ni mbovu wakati pindi akifunga nae messi alsimama kufunga.mapenzi yakizidi huharibu mkuu,
uingereza kakaa misimu sita kachukua ufungaji bora mara moja kwa nini ?Sasa kiongozi hapo kwenye hat trik anatakiwa asifiwe nani?cos CR7 kamkuta andunje laliga na kuweza kupiga hat trik 23 andunje akiwemo hapo laliga so alichofanya andunj kumfikia CR7 so hahitaji sifa hzo,mtu anakukuta kwenye lig una miaka mingi pale yeye anafanya maajabu yake ww unamfikia nani yupo juu sasa kama sio CR7 kwenye hili la hat trk
Hatuwezi kukusaidia cos una ugonjwa mbaya sana unamchukia tu mtu frm no where,pole kiongozi kwenye hiloKile kijamaa cha ureno sikipendi kutoka moyoni....
Sasa kiongozi hapo kwenye hat trik anatakiwa asifiwe nani?cos CR7 kamkuta andunje laliga na kuweza kupiga hat trik 23 andunje akiwemo hapo laliga so alichofanya andunj kumfikia CR7 so hahitaji sifa hzo,mtu anakukuta kwenye lig una miaka mingi pale yeye anafanya maajabu yake ww unamfikia nani yupo juu sasa kama sio CR7 kwenye hili la hat trk
CR7 kaja pale underdog tu hakuna aliyekuwa anamjua zaidi ya fergurson na bench lake la ufundi,kiufup kakulia pale na kakomaa pale kaenda tumika laliga apart frm that kawa mcheza bora wa dunia akiwa pale epl,Cr7 kacheza ligi tatu tofauti,kujibu swal lako mbona kakaa misimu 6 epl na kawa mchezaj bora mara1 simple and maybe epl ni ngumu kuliko laliga,messi aende nje ya laliga akafanye anayoyafanya laliga uje uongee nitakuelewa na sio kumbeza tu CR7uingereza kakaa misimu sita kachukua ufungaji bora mara moja kwa nini ?
Kuwa majeruhi ktk mchezo wa mpira ni sehemu ya mchezo tu,kama kushuka kiwango na kurudisha kiwango ni sehemu tu ya maisha ya mchezaji,na unaposema nan kaanza kucheza mpira kati ya CR7 na messi na nan ana mafanikio kuliko mwenzie ni kutaka kufufua wafu suala hapa si nan kaanza mpira suala hapa ni messi kubakiza goli 2 kumfika CR7 ndio kuna mchangiaj amesema wakat CR7 anafunga messi hakuwa anafunga na this time messi anafunga CR7 hafungi but mwisho wa cku ligi si haijaisha na mwenyezi mungu akitujali tutakuwa pmj humu humu jf tutajua nan anavaa kiatu cha laligaKwa hapo mimi wala sijabisha ila kumbuka Messi anakutwa na Majeruhi makubwa kuliko hata Ronaldo.
Mwishoni mwa msimu wa 2012/2013 Messi alikuwa ni majeruhi na akaa nje miezi kadhaa.
Msimu uliopita Messi alikaa nje Miezi 3.
Kupata Majeruhi ni sababu pia.
Kwani kati ya Ronaldo na Messi nani kaanza kucheza mpira?
Na ni nani mwenye mafanikio mengi ya kisoka mpaka sasa?
CR7 kaja pale underdog tu hakuna aliyekuwa anamjua zaidi ya fergurson na bench lake la ufundi,kiufup kakulia pale na kakomaa pale kaenda tumika laliga apart frm that kawa mcheza bora wa dunia akiwa pale epl,Cr7 kacheza ligi tatu tofauti,kujibu swal lako mbona kakaa misimu 6 epl na kawa mchezaj bora mara1 simple and maybe epl ni ngumu kuliko laliga,messi aende nje ya laliga akafanye anayoyafanya laliga uje uongee nitakuelewa na sio kumbeza tu CR7
Sasa kiongozi hapo kwenye hat trik anatakiwa asifiwe nani?cos CR7 kamkuta andunje laliga na kuweza kupiga hat trik 23 andunje akiwemo hapo laliga so alichofanya andunj kumfikia CR7 so hahitaji sifa hzo,mtu anakukuta kwenye lig una miaka mingi pale yeye anafanya maajabu yake ww unamfikia nani yupo juu sasa kama sio CR7 kwenye hili la hat trk
Pia Ronaldo alikuwa na Historia ya Hat Trick 23 La Liga huku Messi akiwa na 21. Ila kwa sasa wote wapo sawa.
Nampenda sana Messi, hana madoido ya kijinga uwanjani, anachoangalia yeye ni namna gani anaweza akasaidia timu ikapata ushindi ndani ya Uwanja mda wowote.
Nimemuona Ronaldinho akiwa Barca ila kwa Messi hapana aiseee.
Cristiano umri unaenda, Messi ndo kwanza ana 27. Messi ana nafasi kubwa ya kuweka Record nyingi zaidi hapa duniani.
Mark my words, kufungwa kwa madrid na atletico sio guarantee kuwa barca itawafunga madrid. Mark my words, march 22, barca anakaa tena kwa madrid kama alivyokaa mwanzoni mwa msimu.
Naona mnamuongelea messi kumfikia ronaldo, wakati ronaldo alifunga hizo goli 22 huku akiweka rekodi saafi kabisa ambayo messi hajawahi kuiweka. Katika ufungaji messi atasubiri sana kwa ronaldo. Kwa miaka 5 aliyokaa la liga, ana magoli mengi sana kumzidi messi
Halla madrid..!
soccerkona.blogspot.com/.../ronaldo-Kaka mwaga Data wajue kwamba Messi ni habari nyingineeeeee
Kaka mwaga Data wajue kwamba Messi ni habari nyingineeeeee
Kumbuka Messi ameanzia soka barca tangu mtoto na amecheza mechi nyingi zaidi la liga. Hivyo alitakiwa awe na hat tricks nyingi zaidi yaR7 kinyume chake sivyo. Pia wastani wa mabao kwa mechi ndiyo kigezo sahihi cha ukali wa mtu katika kufumania nyavu. Hapo messi yuko nyuma sana kwaR7. Ndio maana R7 amevunja rekodi la liga kwa kufikisha magoli 100 kwa muda mfupi zaidi.
IF messi ni bora kuliko ronaldo ,ahame barca akacheze ligi nyngne akiwika uko ndio nitaamini yeye ni bora,by now ronaldo ni bora ametesa vya kutosha kwa malkia na akaja spain ndio urojo kbsa
sasa kwa nini umeuliza swali kama hili au Messi ni forever young ??
Hivi huwezi kuukubali uwezo wa scholes kwa sababu kachezea man u peke yake ?
giggs je ?
Casilas je ?
Francesco Totti ?
Ramos ?
xavi ?
iniesta ?
kwa nini doubt kwa Messi tu wakati kazifunga timu kubwa karibu zote alizocheza nazo ?
Maswali mengine yamekaa kifacebook zaidi

Tangu mtoto ndio kigezo hovyo kuliko vyote mnavyovitoa Messi kaanza kucheza timu ya wakubwa lini ? kama mchezaji wa kikosi cha kwanza ?halafu Messi ni mdogo kwa Ronaldo two years halafu mtu mzima kufunikwa na mdogo wako ni aibu achana na ugonjwa uliompata Messi wa kutokukua bado unabishana tu ?
kakaa misimu sita kachukua ufungaji bora mara moja bado unasema katesa ?
katesa nini ?
ndio maana nilisema hivi
Kuna watu wametoka Laliga na wanafanya vizuri tu EPL, kama wengine wameweza sioni ni kwa nini Messi ashindwe kung'ara.Kwa malkia ni pagumu,sizani messi akija kama atapiga hata hattrik moja.ndio maana andunje anaogopa kuhama spain maana ufalme wake utabakia historia