Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Ronaldo vs Messi, bado mbili tu

Kiukweli wachezaji wote hawa wawilii ni wachezaji wa pekee. Wote wawili wamejitofautisha kabisa na wengine, na mafanikio yao yanazidiana mwaka hata mwaka.

Ninachokiona hapa ni kuwa wanaompenda Messi wana muelekeo wa kumchukia Ronaldo, na wanajaribu kutafuta points za kumshusha Ronaldo.

Walio wakweli watakubali kuwa wote wawili wako juu.

Nani zaidi? Hili halina jibu la moja kwa moja, bali kuna miaka ya Ronaldo na miaka ya Messi.

Note: Ronaldo kafunga bao 5, zote ni za open play, na hivyo kwa sasa ana magoli mengi ya open play, na ya penalti pia.
 
huyu messi msije kumfananisha na yule bishoo leo wamepata vibonde wamewafanya wanavyotaka subirini tarehe 14 mtawajua ni nani atletico

Hata Messi alicheza nao mbona hakuwapiga tano? Mtaishia kusema bado mbili mpaka mwisho wa dunia! Sasa hivi kama kile kajamaa kafupi kameachwa kwa mbali kama haujui uliza hapa! Na msimu ndo unaishia subirini mwakani!
 


Tatizo watu hawataki kukubali uwezo wa Messi, haka kajamaa kanafunga magoli ya kutosha, kanatoa assist za kutosha na kanapangua ngome vya kutosha. Mechi za Man City zote mbili hakakufunga goli hata moja lakini kaliongelewa karibu ulimwengu mzima wa soka kalivyowasumbua mabeki. Kana wastani mzuri sana wa magoli kuliko mchezaji yeyote anacheza mpira katika kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom