Lakini CR7 kaonekana mechi 3 tu zimempaisha. Kweli Cr7 ni fundiMesi amefunga magoli mengi lkn hayana impact kubwa kwa timu yake, Ronaldo amefunga magoli machache na Hasa ktk mechi muhimu sana, na kupelekea Madrid kufikia malengo ya jumla ktk msimu!
Kwangu Ronaldo amekuwa bora
kwahiyo ronaldo amekuwa bora msimu huu kuliko messi?Mesi amefunga magoli mengi lkn hayana impact kubwa kwa timu yake, Ronaldo amefunga magoli machache na Hasa ktk mechi muhimu sana, na kupelekea Madrid kufikia malengo ya jumla ktk msimu!
Kwangu Ronaldo amekuwa bora
Caca ilo jibu au swali acha maswali ya kiwaki wewekwahiyo ronaldo amekuwa bora msimu huu kuliko messi?
Bro umeua ...fact ..no additionKatika Msimu huu Mesi ni sawa na Mwanafunzi ambaye alikuwa anafauli vizuri katika Mitihani ya Ndani ya shule na alikuwa anaongoza sana ila Mtihani wa Taifa Ronald kafauli ingawa alikuwa wa Kawaida katika mitihani ya Ndani...
Naomba unijuze pale Bayern alipochukua UEFA,Bundasiliga. Mchezaji gani alienda alibeba Baloon D'Or? Mimi naungana na Morinho ku-criticize hii tuzo kwa miaka ya hivi karibuni imepoteza mvuto kabisa tena akibeba tena CR7 itakua haina maana kabisa. Hii tuzo ilikua haitazami vikombe tu.....ilikua inatazama na indivual performance ya mchezaji . Performance ya CR7 kwa sasa si nzuri kabisa ni kutokana na umri wake. Napenda Messi na CR7 wasipewe hii tuzo kabisa kinyume na hapo ni kuwakatisha moyo wachezaji wengine kuwa ni ngumu kupata hii tuzo hata ukijituma.Katika Msimu huu Mesi ni sawa na Mwanafunzi ambaye alikuwa anafauli vizuri katika Mitihani ya Ndani ya shule na alikuwa anaongoza sana ila Mtihani wa Taifa Ronald kafauli ingawa alikuwa wa Kawaida katika mitihani ya Ndani...
hebu suggest sasa nani anafaa halafu uchakachue huyo uliemchagua performance yake na hao watu zinaendana?? me naanza na BuffonNaomba unijuze pale Bayern alipochukua UEFA,Bundasiliga. Mchezaji gani alienda alibeba Baloon D'Or? Mimi naungana na Morinho ku-criticize hii tuzo kwa miaka ya hivi karibuni imepoteza mvuto kabisa tena akibeba tena CR7 itakua haina maana kabisa. Hii tuzo ilikua haitazami vikombe tu.....ilikua inatazama na indivual performance ya mchezaji . Performance ya CR7 kwa sasa si nzuri kabisa ni kutokana na umri wake. Napenda Messi na CR7 wasipewe hii tuzo kabisa kinyume na hapo ni kuwakatisha moyo wachezaji wengine kuwa ni ngumu kupata hii tuzo hata ukijituma.