Naomba unijuze pale Bayern alipochukua UEFA,Bundasiliga. Mchezaji gani alienda alibeba Baloon D'Or? Mimi naungana na Morinho ku-criticize hii tuzo kwa miaka ya hivi karibuni imepoteza mvuto kabisa tena akibeba tena CR7 itakua haina maana kabisa. Hii tuzo ilikua haitazami vikombe tu.....ilikua inatazama na indivual performance ya mchezaji . Performance ya CR7 kwa sasa si nzuri kabisa ni kutokana na umri wake. Napenda Messi na CR7 wasipewe hii tuzo kabisa kinyume na hapo ni kuwakatisha moyo wachezaji wengine kuwa ni ngumu kupata hii tuzo hata ukijituma.