Ronaldo vs Messi: Msimu wa 2016/2017

Ronaldo vs Messi: Msimu wa 2016/2017

Mafanikio ya mtu ni tofauti na timu Ronaɗo msimu huu amechemka sana amekua anafanya kazi ya kuvizia tu
Roho mbaya haijawahi kumwacha mtu Salama!

Acha kumfananisha mnyama cr7 na vitu vya kipuuzi aisee!
 
444c8ba2e4113f9044702b672c52496b.jpg
2b430c1a0e7779967806b3ae658d9bec.jpg

hii ndio tofauti ya king messi na vitu vya kijinga
Hii picha sijaielewa mkuu!
Hebu nifafanulie kidogo!

Cc PNC 1
 
Bila shaka Ronaldo atatwaa tena. Kashinda makombe muhimu na zaidi alikuwa anatupia vitu kambani kwenye mechi za muhimu.
 
Daa sio siri mpira bila chenga na maujanja ya kutosha haunogi kabisa sawa na chai bila sukari.
Uviziaj wa magoli sawa ila siku kwa mtu mwenye ranks za kidunia.

Hii ballon di'or naona wabadilishe vipengele vya kupatiwa hiyo tuzo nataka wa base kwenye watu wanaotumia maujanja uwanjani sio kufunga tuu.

Mambo ya akina ronaldinho, JJ Okocha, ronaldo delima ndo mpango mzma.

Kwa sasa ronaldo alishaanza kufa kitambo halaf atafata messi sababu age inamwatupa mkono.
Huwez niambia unaangali mafanikio ya club tuu na nationl team Bali cheki maujanja ulingoni.

Kuna watu watamu sana kama modric, messi, neymar n.k
 
Nadhani Cr7 msimu huu kafanya vizuri zaidi ya Andunje.Ballondor apewe Cr7 anastahili.
 
Messi was superb this season.
Na baron D'Or ni tuzo binafsi so Messi anastahili kwa asilimia 70.
 
Back
Top Bottom