Daa sio siri mpira bila chenga na maujanja ya kutosha haunogi kabisa sawa na chai bila sukari.
Uviziaj wa magoli sawa ila siku kwa mtu mwenye ranks za kidunia.
Hii ballon di'or naona wabadilishe vipengele vya kupatiwa hiyo tuzo nataka wa base kwenye watu wanaotumia maujanja uwanjani sio kufunga tuu.
Mambo ya akina ronaldinho, JJ Okocha, ronaldo delima ndo mpango mzma.
Kwa sasa ronaldo alishaanza kufa kitambo halaf atafata messi sababu age inamwatupa mkono.
Huwez niambia unaangali mafanikio ya club tuu na nationl team Bali cheki maujanja ulingoni.
Kuna watu watamu sana kama modric, messi, neymar n.k