Ronaldo vs Messi: Msimu wa 2016/2017

Ronaldo vs Messi: Msimu wa 2016/2017

hebu suggest sasa nani anafaa halafu uchakachue huyo uliemchagua performance yake na hao watu zinaendana?? me naanza na Buffon
Buffon anastaili. Ishu ya kuchukua vikombe sio kigezo sahihi. Wengi wamebeba vikombe. Tatizo ni ushabiki tu.....wapiga kura wote team Messi vs Team Cr7
 
Naomba unijuze pale Bayern alipochukua UEFA,Bundasiliga. Mchezaji gani alienda alibeba Baloon D'Or? Mimi naungana na Morinho ku-criticize hii tuzo kwa miaka ya hivi karibuni imepoteza mvuto kabisa tena akibeba tena CR7 itakua haina maana kabisa. Hii tuzo ilikua haitazami vikombe tu.....ilikua inatazama na indivual performance ya mchezaji . Performance ya CR7 kwa sasa si nzuri kabisa ni kutokana na umri wake. Napenda Messi na CR7 wasipewe hii tuzo kabisa kinyume na hapo ni kuwakatisha moyo wachezaji wengine kuwa ni ngumu kupata hii tuzo hata ukijituma.

Kuna wachezaji wanandoto za kubeba hiyo tuzo MMOJA WAPO NI PAUL POGBA....Lakini amekiri wazi kuwa hatoweza kwa kuwa kuna hiyo Duo ya "RONALDO & MESSI"...Na anaimani labda baada ya miaka kama minne mbele hivi ndo anaweza beba...Pitia hiyo link hapo chini.

'Pogba won't topple Messi or Ronaldo in Ballon d'Or race for four years' - Goal.com

ILA KIUHALISIA HIYO TUZO HAITOENDA MBALI NA HAO JAMAA HADI HIYO DUO MMOJA AMA WOTE WASTAAFU...KAMA SI HIVYO BASI WAHAME KWENYE IZO TIMU ZAO(BARCA NA MADRID)...KWA KUWA HIZO TIMU ZAO ZINA WACHEZAJI WAZURI SANA NA UKICHANGANYA NA UWEZO WAO NDO SHIDA....DAIMA WATABAKI WAO TU KWENYE HIYO AWARD,Na kingine kinachofanya iwe ngumu kuwatoa kwenye hiyo award ni kuwa JAMAA TAYARI WANA RECORDS ZAO WALIZOZIWEKA HASA KWENYE MAGOLI/UFUNGAJI...MFANO:LEO10 ANA CAREER GOALS 558 NA CR7 ANA CAREER GOALS 597...UKIJA KUCHANGANYA NA VIKOMBE WANAVYOBEBA NA TIMU ZAO NDO KABISAA...UKIZINGATIA MISINGI MIKUBWA YA UBEBAJI WA TUZO HIYO YA Ballon D'or...NI STATUS NA ACHIEVEMENTS ZA MCHEZAJI KATIKA KUZISAIDIA CLUB NA NATIONAL TEAMS KUBEBA TROPHIES...SASA BASI ILI MCHEZAJI MWENGINE AKISHINDANISHWA NAO KWENYE ILE TOP-3 ACHUKUE INABIDI AWE NA ACHIEVEMENTS NA RECORDS KAMA ZAO KWANZIA GOALS,ASSISTS NA VIKOMBE ABEBE KATIKA CLUB YAKE, HIVYO NI NGUMU SANA KWA WENGINE KUBEBA HIYO TUZO...HADI JAMAA WAHAME KWENYE HIZO CLUB ZAO NA KWENDA CLUB ZA KAWAIDA(Ambazo hazina mafundi kama kina rakitic,iniesta,modric,kroos,Marcelo) KAMA SIYO KUSTAAFU KABISA,NA KUNA SIKU NILIKUWA NASIKILIZA UCHAMBUZI WA BBC-SPORT EXTRA WANASEMA...KINACHOUSHANGAZA ULIMWENGU WA SOCCER NI KUWA WAÇHEZAJI WENGI WENYE ACHIEVEMENTS KAMA ZAO WALISHASTAAFU ILA TATIZO WAO WAMEZIFIKIA HIZO ACHIEVEMENT KWENYE UMRI MDOGO HIVYO BADO WAPO KAZINI NA KILA SIKU WANAZIDI KUANDIKA REÇORDS MPYA KWENYE ULIMWENGU WA SOCCER...

C-mHJKUWsAINNDa.jpg Screenshot_2017-05-24-15-51-58.png Screenshot_2017-05-24-15-56-12.png Screenshot_2017-05-24-15-56-32.png Screenshot_2017-05-24-15-57-20.png Screenshot_2017-05-24-15-58-18.png Screenshot_2017-05-24-15-58-32.png

Kwa mfano hapo juu kwenye hiyo list ya TOP GOALS SCORER OF ALL TIME KATIKA LEAGUES MBALIMBALI HUKO ULAYA NA UEFA CHAMPIONS LEAGUE...WACHEZAJI WENGI HAPO WENYE MAGOLI MENGI WAMESHAACHA SOKA SASA WAO WAMEWAZIDI HADI WALIOSTAAFU NA BADO WAPO KAZINI NA KILA SIKU WANAONGEZA TU GOALS,ASSISTS NA RECORDS NYINGINE...JE WAFIKIRI NI MCHEZAJI GANI ATAWAFIKIA? NA ITAKUWA LINI??, Hivyo ni kama nilivyokwambia kama sio wao kuhama kwenda kwenye vilabu Vya kawaida au kustaafu kabisa...wachezaji wengine wataishia kuisikia hiyo tuzo kwenye magazeti Tu!!!
 
Katika Msimu huu Mesi ni sawa na Mwanafunzi ambaye alikuwa anafauli vizuri katika Mitihani ya Ndani ya shule na alikuwa anaongoza sana ila Mtihani wa Taifa Ronald kafauli ingawa alikuwa wa Kawaida katika mitihani ya Ndani...
Hili jibu limejitoshereza, no question again, bigup broo
 
Cr7 kasaidia timu yake saana, msimu Cr7 ni bora sana
sawa lakini msimu wote kaonekana mechi 3 tu. mbili vs Bayern na 1 vs Atletico. SWALI: Unakumbuka jinsi Romosi alivokuwaga anaibeba Madrid tena dakika za mwisho anaharibu matokeo. Wapo wengi wameifanya Madrid kung'ara msimu huu tofauti na mviziaji . Watu wanapiga kazi we unatengewa tu. Tazama assist za Cr7 ni dhaifu sana huwa atafuti mipira na kutia chengaaa ......!
 
Mesi amefunga magoli mengi lkn hayana impact kubwa kwa timu yake, Ronaldo amefunga magoli machache na Hasa ktk mechi muhimu sana, na kupelekea Madrid kufikia malengo ya jumla ktk msimu!
Kwangu Ronaldo amekuwa bora
Hawajasema impact ya magoli kwenye timu.
 
Buffon anastaili. Ishu ya kuchukua vikombe sio kigezo sahihi. Wengi wamebeba vikombe. Tatizo ni ushabiki tu.....wapiga kura wote team Messi vs Team Cr7
Kabisa Mkuu, mafundi akina Xavi, Sneider, Iniesta n.k wamebaki kushika nafasi ya 3 na kuendelea.

Last season ningefurahi kuona Griezzman akipewa tuzo. Ronaldo aliwika kwenye mechi za mwisho tu, lakini Griezzman alibeba timu zake tangu mwanzo wa michuano mpaka mwisho na akaingia fainal ila hakubeba kombe.
 
Individual wise Messi kamkimbiza mbaya CR7...Club wise CR7 kamkimbiza mbaya Messi...Kama Madrid atashinda UCL kesho trh 3/6/2017 haina ubishi Balloon Dior CR7 inamhusu 100%...ila Madrid wakiukosa Ubingwa wa UCL kesho Messi atachuana vikali sana na BUFFON (Golikipa wa JUVE) katika kuichukua hiyo Balloon Dior....
 
sawa lakini msimu wote kaonekana mechi 3 tu. mbili vs Bayern na 1 vs Atletico. SWALI: Unakumbuka jinsi Romosi alivokuwaga anaibeba Madrid tena dakika za mwisho anaharibu matokeo. Wapo wengi wameifanya Madrid kung'ara msimu huu tofauti na mviziaji . Watu wanapiga kazi we unatengewa tu. Tazama assist za Cr7 ni dhaifu sana huwa atafuti mipira na kutia chengaaa ......!
Ronaldo ni mmaliziaji Mzuri saana, ipo hivyo. Ila linapokuja suala la perfomance yake kitimu ni ndogo.
 
Back
Top Bottom