mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Basi tuseme hiyo penati umefunga wewe!! Unachofumbia macho ni kuwa hiyo penalti ni yeye amefanyia faulo na mlinzi wa mwisho!! Alikuwa anaenda "kumsalimia" golikipa!! Penati haikushuka bure toka hewani!! ni jitihada zake!!Haya ni mahaba yako yaliyokutopea kuhusu Ronaldo. Zaidi ya penati kuna kipi zaidi alichofanya?
Ni chuki yako kwa Ronaldo zinakufanya usione anachokifanya uwanjani!! Ila namba hazidanganyi! Ni mchezaji wa kwanza duniani kufunga katika kila kombe la dunia mfululiuzo michuano mitano ya kombe la dunia! Ni mchezaji mwenye magoli mengi zaidi ya kimataifa duniani!! Hata kama humpendi, rekodi zake zitakusuta!! Ni mchezaji wa pili kufunga goli kombe la dunia nyuma ya Roger Miller wa Cameroon (42 yrs)!! Kwa umri ule bado anatesa!!Haya ni mahaba yako yaliyokutopea kuhusu Ronaldo. Zaidi ya penati kuna kipi zaidi alichofanya?
george weah ajawahi kucheza kombe la dunia...Ni chuki yako kwa Ronaldo zinakufanya usione anachokifanya uwanjani!! Ila namba hazidanganyi! Ni mchezaji wa kwanza duniani kufunga katika kila kombe la dunia mfululiuzo michuano mitano ya kombe la dunia! Ni mchezaji mwenye magoli mengi zaidi ya kimataifa duniani!! Hata kama humpendi, rekodi zake zitakusuta!! Ni mchezaji wa pili kufunga goli kombe la dunia nyuma ya Geoge Weah (42 yrs)!! Kwa umri ule bado anatesa!!
Rooney anazo ngapi?Hakuna mchezaji ana tuzo nyingi za Man of the Match kwenye Kombe la Dunia kumzidi Cristiano Ronaldo... Anazo saba.
View attachment 2427067
Labda alikua anamaanisha Roger millergeorge weah ajawahi kucheza kombe la dunia
Kingine cha zaidi, ni kutengeneza penati ya mchongo!Haya ni mahaba yako yaliyokutopea kuhusu Ronaldo. Zaidi ya penati kuna kipi zaidi alichofanya?
Anapaa hatari, ni miongoni mwa viumbe hai vinavyoelea hewani.CR7 Airlines [emoji119]View attachment 2427085
Rooney anazo ngapi?
Ahsante kwa kusahihisha, nilikuwa nataka nimsahihishe ila nikawa nimemsahau. Nilimsoma juzi kwenye live Commentary googleLabda alikua anamaanisha Roger miller
Kweli nilichanganya na Roger Miller!! Ngoja nika-edit!! Asante sana.george weah ajawahi kucheza kombe la dunia...
Yaani Mtu anatoka anakotoka kuja kusifia penati ambayo haijukikani kwa nini ni penati?Kingine cha zaidi, ni kutengeneza penati ya mchongo!
Hiyo mechi Kuna wachezaji wa Ureno walikiwasha kuliko Ronaldo, hiyo tuzo ya MOTM sijui huwa wanaangalia nn? Juzi KDB mwenyewe kashangaa kupewa wakat alikir mwenyewe kwamba hakuwa Na mchezo mzuri hata Modrick pia.Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U.
Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana ukiachilia mbali goli alilofunga kwa tuta!
Nadhani pamoja na kuwa na miaka 37, timu itakayomchukua bado ataifanyia makubwa kama watamheshimu na kumpatia nafasi!
View attachment 2427016
View attachment 2427019
View attachment 2427024
Ronaldo na miaka 37 lakini bado anawakimbiza vijana ni hatari!! Ukiwauliza mabeki wa Ghana watakuambia Ronaldo msikiage tu!!
Dah mhuni anaruka jamani.CR7 Airlines 🙌View attachment 2427085