Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

Katika tuzo za mchongo wakati mwingine ni pamoja na hii ya MOTM.
Mara nyingi huwa inatolewa kwa upendeleo kuelekea wale watu wenye majina makubwa.
Ikitokea mwenye jina kubwa akashiriki tukio lolote la ushindi hata kama ni mara moja tu basi nyie wengine tambueni hilo tuzo haiwahusu tena.
Watu wanaangalia biashara zaidi kwa sasa kuliko kitu kingine
Naomba ufafanue zaid hapo kwenye kibiashara,kwamba hao wenye majina makubwa ndo wanaomba au
 
DUH !! uliangalia mpira kweli ? Ushabiki mwingine ni zaid ya ujinga.

Cr7 jana hajafanya chochte cha maana zaid ya kufunga ile penat. Yaan hakua na madhara yoyote kwa beki za Ghana
 
Back
Top Bottom