Ronaldo yuko juu lakini Messi yuko juu zaidi

Ushajiuliza Ronaldo angeanzia soka lake La Liga kingetokea nini?!
Hawezi jiuliza. Ndiyo maana takwimu za Ronaldo, kuanzia msimu wa 2009/10 mpaka anaondoka Madrid, huwezi kukuta wameziweka au kuzizungumzia hata siku moja.
 
Hizo takwimu huwa wanazikimbia sana sijui kwanini..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Takwimu zao lazima zitafute njia ya kumbeba mtu fulani. Mfano, utasikia sijui mwenye magoli mengi ya freekick tangu 2017, mara aliyefunga magoli mengi nje ya boksi tangu 2018, mara hivi, mara vile. Ukiwauliza kwa nini uchague 2018 au 2017 na sio 2010 au 2012 hawatoi majibu ya kueleweka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Messi ni mkali zaidi. Hizo timu za EPL mnazomtishia Messi, nyingi alishazifunga. Na hamjiulizi ilikuwaje juzi juzi captain Virjil Van Djik (samahani kama nitakuwa nimekosea jina lake) aliyekuwa akipigiwa chapuo kutwaa tuzo ya FIFA male best player, yeye mwenyewe alimpigia kura Leo Messi?

Kama kuna mtu bado anabisha nimwulize swali: katika mechi za El Classico zilizowakutanisha Messi vs Ronaldo, nani alim-outshine mwenzake? Jibu unalo labda kama unataka ligi ya maneno iendelee tu.
 
Ngoja tuwaachie vijana wabishane kwanza.
Sisi wa zama za Maradona na Pele tunaona mnapiga kelele tu.
 
Ronaldo anashindana na messi kwa kufunga tu, kwa mengine ronaldo Hamfikii hata de bruyne
Tafuta stats za uefa,nani anaongoza kuweka freekicks kambani,nani anaongoza assist,nan anaongoza kutengeneza nafasi za magoli,n.k.Kisha rudi tena kuandika urojo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…