Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushajiuliza Ronaldo angeanzia soka lake La Liga kingetokea nini?!yah angekuwa messi kacheza hizo games za ronaldo bac angekuwa na goals 1500
Na wewe ushajiuliza messi angeanzia soka lake EPL kingetokea nini?Ushajiuliza Ronaldo angeanzia soka lake La Liga kingetokea nini?!
Messi ni jambo la kufikirika ila Ronaldo ameprove kabisa.na wewe ushajiuliza messi angeanzia soka lake epl kingetokea nini?
Hawezi jiuliza. Ndiyo maana takwimu za Ronaldo, kuanzia msimu wa 2009/10 mpaka anaondoka Madrid, huwezi kukuta wameziweka au kuzizungumzia hata siku moja.Ushajiuliza Ronaldo angeanzia soka lake La Liga kingetokea nini?!
Hizo takwimu huwa wanazikimbia sana sijui kwanini.Hawezi jiuliza.Ndo maana takwimu za Ronaldo,kuanzia msimu wa 2009/10 mpaka anaondoka madrid,huwezi kukuta wameziweka au kuzizungumzia hata siku moja.
Sawa mkuu, ila Messi ndiyoo mchezaji anaeongoza kuzifunga timu kubwa za EPL na hachezi pale.Messi ni jambo la kufikirika ila Ronaldo ameprove kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Takwimu zao lazima zitafute njia ya kumbeba mtu fulani. Mfano, utasikia sijui mwenye magoli mengi ya freekick tangu 2017, mara aliyefunga magoli mengi nje ya boksi tangu 2018, mara hivi, mara vile. Ukiwauliza kwa nini uchague 2018 au 2017 na sio 2010 au 2012 hawatoi majibu ya kueleweka.Hizo takwimu huwa wanazikimbia sana sijui kwanini..
na wewe ushajiuliza messi angeanzia soka lake epl kingetokea nini?
ahahahahaha sawa bossAngekuwa alishatundika daruga tayari
Tafuta stats za uefa,nani anaongoza kuweka freekicks kambani,nani anaongoza assist,nan anaongoza kutengeneza nafasi za magoli,n.k.Kisha rudi tena kuandika urojo wako.Ronaldo anashindana na messi kwa kufunga tu, kwa mengine ronaldo Hamfikii hata de bruyne