Huwa wananishangaza sana hawa vijana...sijui beki gani wa kumsumbua Messi pale epl
Mimi simshangai mtu yeyote akimchukia Messi, Messi anakera jamani 😂😂😂
Na ronaldo kama ni mkali aende Leverkusen akaipe uefaJuzi Messi kapigiwa kura hewa...Messi kama mkali akacheze Napoli kama Maradona na kuipa ubingwa wa Seria A
Vise versa is trueCR7 is a Great player but Lionel Messi is a Magician player
Juzi Messi kapigiwa kura hewa...Messi kama mkali akacheze Napoli kama Maradona na kuipa ubingwa wa Seria A
UEFA Champions sioni apoKwa miaka 10 mfululizo;
La liga mbili tu...
Copa del rey mbili tu...
Supercopa de espana mbili tu...
Uefa super cup mbili tu...sasa kingetokea nini! Huko juve amekimbilia vikombe akijua timu haina mpinzani many years wanachukua wao tu...Si angeenda basi kuwasaidia Atalanta au Fiorentina![emoji23][emoji23]
UEFA Champions sioni apo