Ronaldo yuko juu lakini Messi yuko juu zaidi

Ronaldo yuko juu lakini Messi yuko juu zaidi



Mimi simshangai mtu yeyote akimchukia Messi, Messi anakera jamani 😂😂😂





Huwa wananishangaza sana hawa vijana...sijui beki gani wa kumsumbua Messi pale epl 😂😂 wakati kulikuwa na mabeki mikatili miaka iliyopita akina NESTA, CANNAVARO, ROBERTO CARLOS N.K kawadhalilisha vibaya sana, CARLOS kidogo avunjwe kiuno mammae😂😂...CANNAVARO alijidanganya kuzuia goli la mwenye mpira waka akajikuta anapiga column na kupelekea kuumia 😂😂👇


Wana bahati hawakuchezanae mda mrefu, wangeisoma namba
 
Lionel Messi
IMG_20191019_182947_907.JPG
 
Wacheni Ujinga nyie kumamayo hakuna ubishi Ronaldo ni best player Dunian..anazidi kila mtu


















Lakini messi ni best player ulimwenguni na ma universe yote na ye ni alien
 
Juzi Messi kapigiwa kura hewa...Messi kama mkali akacheze Napoli kama Maradona na kuipa ubingwa wa Seria A
 
mabeki wote wakubwa dunia wanakiri hawajawah kukutana na kiumbe wa ajabu kama mess...
makocha wote bora dunian wanakiri hawajawah kuona kama yeye
LEO AJE MJINGA1 AMFANANISHA MESS NA VITU VYA KIJINGA, NASEMA HIVI: ronaldo afananishwe na kagere maana wao niwafungaj tu, hawana miujiza mingne kama mungu wa mpira mess
 
Mnaongea sana bana lkin Ronaldo hamuwezi Messi hata kidogo nakumbuka jamaa kipindi liko Madrid alikuwa mbinafsi sana hata afunge 4 pekee yake bado ikitokea penalty atalililia kwa ufupi mafanikio ya Ronaldo kwa asilimia kubwa yametokana na juhudi za wachezaji wenzie 80% za kina modric,macelo nk zake ni 20 tu lkin Messi yupo kati 50 zake 50 za wachezaji wenzie ndiomana unamuona Messi hajapungua chochote licha ya wana lamasia wenzie kustafu lkn Ronaldo kama juve ndio anapotea sio kwa umri tu bali juve haina watengenezaj hodar kama real na hicho kitu kitafanya ashindwe kuvuka gor 25 kwa msimu hapo Italy
 
Juzi Messi kapigiwa kura hewa...Messi kama mkali akacheze Napoli kama Maradona na kuipa ubingwa wa Seria A


Maneno ya mkosaji haya, akikosa cha kuongea hupelekea kuropoka tu...
Sasa atoke Barca aende Napoli hii kweli ni akili ama!! Huko napoli wana uwezo gani wa kumhudumia/kumlipa huyu kiumbe!!! Mahitaji yote anayoyapata pale usifkiri atayapata sehemu nyingine... think twice kijana.


Hivi Unajuwa Messi ndie injini ya Barca!! Uwepo wake tu unatupa na unawapa matumaini washabiki, kocha na Teamates kwa ujumla....asipocheza timu huwa inakosa mwelekeo na kupelekea hata kufungwa...jiongeze!
 
Narudia tena, mtu akimchukia Messi mimi simshangai kabisa...Messi anakera jamani, you can only enjoy him IF he is not playing against you.
 
Kwa miaka 10 mfululizo;
La liga mbili tu...
Copa del rey mbili tu...
Supercopa de espana mbili tu...
Uefa super cup mbili tu...sasa kingetokea nini! Huko juve amekimbilia vikombe akijua timu haina mpinzani many years wanachukua wao tu...Si angeenda basi kuwasaidia Atalanta au Fiorentina![emoji23][emoji23]
UEFA Champions sioni apo
 
UEFA Champions sioni apo

Champions league ana 5 na Messi ana 4...tofauti moja tu..La liga, Copadelrey na Supercopa de espana miaka 10 mbele ya King kafanya nini!!

All-time career (club and country, but excluding club friendlies)

  • Ronaldo: 701 goals and 219 assists in 975 appearances
  • Messi: 673 goals and 275 assists in 829 appearances
  • Hat-tricks: Ronaldo 54; Messi 51
  • Career goal ratio: Ronaldo 0.72; Messi 0.81
  • Penalties: Ronaldo 113 (23 missed); Messi 84 (25 missed)

Umeona kijana wangu!! Hawatofatiani sana..hattrick kamzidi 3 tu...magoli kamzidi 28 tu...
 
Back
Top Bottom