Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

Umefanikiwa kuroot?

  • Total voters
    24
kcamp & Jury ,
Asanteni kwa somo,
Mm ni mtundu tundu kiasi chake kwenye electronics, specifically software, ila suala la rooting SINA NINACHOJUA, nahitaji kuifanyia rooting hii simu yangu, lkn pia kujifunza ili siku nyingne nifanye mwenyewe.... Ningeomba kukutana na mmoja kati yenu km inawezekana, afanye huku naona nami nijifunze.

Natumia
Samsung A9 Pro 2016
SM-A9100.
Android 6.0.1
 
Ku root sim zenye majina makubwa Kama Samsung ni rahisi maana requirements Kama twrp zinakua. Zimetengenezwa
Root kwa twrp pitia haha maelezo
https://forum.xda-developers.com/sa...wrp-3-0-2-1-samsung-galaxy-a9-pro-sm-t3426701
 
Naomba video tutorial yenye mchalato mzima na inayoeleweka, hasa iliyoandaa itapendeza zaidi
Hapana mimi naroot simu nazotumia binafsi sirekodi so kupata video toka kwangu haiwezekani
Tutorial zipo YouTube na zinatofautiana kulingana na Aina ya simu
 
Mkuu kuroot kwakutumi magisk lazima niflash kwanza TWRP?
Hapana kama huna twrp ya simu yako sio lazima
Lakini kama unayo ni vizuri ukaitumia sababu ni kama shortcut
 
Twrp yake ipo,unaflash kwa odin kisha una flash magisk kupitia twrp then una install magisk manager
Kudos tayari unakua umeroot
Nataka ku root my tecno camon cx. Naweza pata mwongozo hatua kwa hatua? Nimeguatilia sehemu nikachemka
 
Back
Top Bottom