Naomba video tutorial yenye mchalato mzima na inayoeleweka, hasa iliyoandaa itapendeza zaidiNdio
Ku root sim zenye majina makubwa Kama Samsung ni rahisi maana requirements Kama twrp zinakua. Zimetengenezwakcamp & Jury ,
Asanteni kwa somo,
Mm ni mtundu tundu kiasi chake kwenye electronics, specifically software, ila suala la rooting SINA NINACHOJUA, nahitaji kuifanyia rooting hii simu yangu, lkn pia kujifunza ili siku nyingne nifanye mwenyewe.... Ningeomba kukutana na mmoja kati yenu km inawezekana, afanye huku naona nami nijifunze.
Natumia
Samsung A9 Pro 2016
SM-A9100.
Android 6.0.1
Hapana mimi naroot simu nazotumia binafsi sirekodi so kupata video toka kwangu haiwezekaniNaomba video tutorial yenye mchalato mzima na inayoeleweka, hasa iliyoandaa itapendeza zaidi
Ni Samsung Grand Prime Pro SM-J250F. Msaada plseKunaa model tofaut tofaut Hua kunakua na neno SM likifuatiwa na namba
Mkuu kuroot kwakutumi magisk lazima niflash kwanza TWRP?
Si lazima. Ila ndio njia rahisi sana.Mkuu kuroot kwakutumi magisk lazima niflash kwanza TWRP?
Hapana kama huna twrp ya simu yako sio lazimaMkuu kuroot kwakutumi magisk lazima niflash kwanza TWRP?
Karibu
Sawa mkuu cha msingi kuwa makini usichanganye hatuaNimepata darasa sasa acha nikafanye practice
Twrp yake ipo,unaflash kwa odin kisha una flash magisk kupitia twrp then una install magisk managerNi Samsung Grand Prime Pro SM-J250F. Msaada plse
Asee hii ya"your phone strong" ndio naskia leo,ulitumia njia gani?
Nataka ku root my tecno camon cx. Naweza pata mwongozo hatua kwa hatua? Nimeguatilia sehemu nikachemkaTwrp yake ipo,unaflash kwa odin kisha una flash magisk kupitia twrp then una install magisk manager
Kudos tayari unakua umeroot
Build number gani?Nataka ku root my tecno camon cx. Naweza pata mwongozo hatua kwa hatua? Nimeguatilia sehemu nikachemka
Asee hii ya"your phone strong" ndio naskia leo,ulitumia njia gani?
Ujaribu kuroot kwa kutumia njia gani2018
Ile kingroot sijui? Nimeisahau aisehUjaribu kuroot kwa kutumia njia gani