kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ndo kuchanganyikiwaSasa ndio kaandika nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo kuchanganyikiwaSasa ndio kaandika nini
Weka videoIM NOT FINE! Mara nyingi naulizwa “How are you?” Nasema “I’m fine” kusema tu ila sio kumaanisha. But now I admit IM NOT FINE!
Napitia mambo mazito mpaka naona giza tu. Inaumiza kwamba haijalishi ninachopitia lazima niendelee kuonyesha furaha kwenye mitandao kana kwamba niko sawa. Kila siku napaswa niendelee kutimiza jukumu la kuwaburudisha, kupromote album, kutoa ngoma mpya, kurecord, kushoot videos na kuinspire jamii. SIKO SAWA! NAUMIA! NAPITIA MAMBO MAZITO KUYABEBA! NAONA KIZA! NAJIULIZA MASWALI MAJIBU SIPATI! Na kwa wakati huu Nani nimuendee? Mmepata burudani kutoka kwangu ila nikiwa sipo sawa mnanisaidiaje?? Nawaza sometimes kuwa wazi na haya ninayoyapitia ila nashindwa maana najua wengine watanicheka, wengine watanisema, wengine watanitenga na wengine hawatajali kabisa. Nyinyi si ndio familia yangu, sasa wapi niende?
Nikizungumza ninayoyapitia yatakua tu headlines ya story kwenye page za udaku? Nitapigiwa simu kufanya interviews ili media zipate story? Yani maisha yangu ni sinema tu kwa ajili ya kuwapa watu views? Na hisia zangu je? Na hata nikiwa sipo maisha si yataendelea tu????…..Honestly, IM NOT FINE!
Amefunguka kupitia page yake ya instagram...View attachment 2581071
View attachment 2581114View attachment 2581115
Ukiubeba unaumiaU superstar ni mzigo wa mwiba aliimba Ngosha wakuitwa Fid Q
Ndio nani huyo Loza Lii? Halafu huyo pichani ni jinsia GaniIM NOT FINE! Mara nyingi naulizwa “How are you?” Nasema “I’m fine” kusema tu ila sio kumaanisha. But now I admit IM NOT FINE!
Napitia mambo mazito mpaka naona giza tu. Inaumiza kwamba haijalishi ninachopitia lazima niendelee kuonyesha furaha kwenye mitandao kana kwamba niko sawa. Kila siku napaswa niendelee kutimiza jukumu la kuwaburudisha, kupromote album, kutoa ngoma mpya, kurecord, kushoot videos na kuinspire jamii. SIKO SAWA! NAUMIA! NAPITIA MAMBO MAZITO KUYABEBA! NAONA KIZA! NAJIULIZA MASWALI MAJIBU SIPATI! Na kwa wakati huu Nani nimuendee? Mmepata burudani kutoka kwangu ila nikiwa sipo sawa mnanisaidiaje?? Nawaza sometimes kuwa wazi na haya ninayoyapitia ila nashindwa maana najua wengine watanicheka, wengine watanisema, wengine watanitenga na wengine hawatajali kabisa. Nyinyi si ndio familia yangu, sasa wapi niende?
Nikizungumza ninayoyapitia yatakua tu headlines ya story kwenye page za udaku? Nitapigiwa simu kufanya interviews ili media zipate story? Yani maisha yangu ni sinema tu kwa ajili ya kuwapa watu views? Na hisia zangu je? Na hata nikiwa sipo maisha si yataendelea tu????…..Honestly, IM NOT FINE!
Amefunguka kupitia page yake ya instagram...View attachment 2581071
View attachment 2581114View attachment 2581115
Ndio nani huyo huko mjini?The Icebreaker eti unamfahamu huyu?
Nilikumiss bwana nikaona nikuchokoze 🤣Ndio nani huyo huko mjini?
Siwaamini hawa... Au ana bust wimbo wake..Ukute ni msanii anafanya Sanaa