Rosa Ree afunguka mazito, aonesha kuwa anapitia magumu sana

Rosa Ree afunguka mazito, aonesha kuwa anapitia magumu sana

Anatafuta attention tuu

Magumu maguumu ,magumu yepi

Ova
 
Wasanii wetu wana kaujinga fulani sijui kwa kuwa wengi wa mashabiki wao nao wanaviujinga ujinga kama wao,,,mtu anaepitia mazito kwerii kwerii kwenye haya maisha anapata wapi nguvu ya kuandika mitandaoni,,,hayajui mazito huyu,,,ukiwa na mazito haswa hata nguvu ya kushika simu utaitoa wapi??wameharibiwa na makiki ya kipuuzi puuzii na akija toa wimbo pamoja na makiki yote hayo,,,na ukabahatika kusikia kimeimbwa nini na huyu anae igiza anapitia mazito,,,unakuta ni upuuzi pia!!!
 
Kuna mawili...

1. Kiki
2. Wanamuziki wanafanya ushetani mwingi, sasa muda wa majuto umefika
 
Back
Top Bottom