Rosa Ree afunguka mazito, aonesha kuwa anapitia magumu sana

Huyu muda tu anaonekana Ana matatizo ya Akili! Anaiga life style ya Madada wa USA.Ambao wana pesa na awana Majukumu au Family issues ! Aliolewa mwaka jana ila kwa tabia zake sizani kama ataweza ishi na Mume na huenda amesha achwa😭. Kuna life ukiamua kuliishi unatakiwa milele usiwaze Owa au kuolewa ! Kwani Jamii inakuja kukufahamu tofauti na akili yako ilivyo. Na ukisha kuwa upande wa kushoto uwezi rudi upande wa Kulia na jamii iliyokuzunguka hikaamini kuwa umebadilika.Anahitaji tiba ya akili. Vinginevyo titampoteza
 
Weka video
 
Ndio nani huyo Loza Lii? Halafu huyo pichani ni jinsia Gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…