Rosa Ree ana miguu mizuri sana

Ndo tumefika hukuπŸ™ƒ
Watu wakishashiba bangi wanaona hawana Cha kuandika na ku-post zaidi ya bangi bangi as for me nakuelewa Rosa Ree ninachokielewa artist appearance n artistic ways of expressions differ from one Artist to another, that's what I know you know I mean
 
Hapa nahisi kuna mtu anajipa Promo.
 
Vijana wa dar bana,wewe mbona unampenda diamond pamoja na kwamba ana miguu kama mti wa bendera???
Duuuh hii ndio April 2023 diamond km unapita kuna mdau kaku mouth wash huku,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…