Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
Ila hawa watu wenye majina ya Rrose sijui wanakuaga na mapepe gani
Akampe bodaboda wakeAnahitaji hizo boxer akafanyie nini?
Amini amin nakwambia, hiyo siku penzi litafufuliwa upya maana lazima mechi itapigwa hiyo siku.Ila hawa watu wenye majina ya rose sijui wanakuaga na mapema gani
Duh,Ila hawa watu wenye majina ya rose sijui wanakuaga na mapema gani
Anaenda kuliwa mchana kweupeeee!!!
Njoo home nikuoneshe kitu...iou kuliwa mchana kweupeeee!!!
😁😁😁😁😁!Njoo home nikuoneshe kitu...
Na pia kupasha kiporo kuna raha yake.Amini amin nakwambia, hiyo siku penzi litafufuliwa upya maana lazima mechi itapigwa hiyo siku.
Ni mbinu za wanawake kujifanya anakuja kuchukua vitu vyake ila huwezi amini hiyo siku atakuja amejipodoa kuliko siku zote na atavalia kimitego ili umle na penzi liendelee.
Tuliosoma kwa the Late Fidel Castro pekee ndiyo huwa tunajua hizi codes.
Mark my words
Dj nipigie mziki wa nimelimiss hilo dude 🎶🎶🎸🎵🎻😁😁😁😁😁!
Venye nimelimiss hilo dude alooooooooooo nakuja fastaaaaaaa 😋😋😋😘😘
Usimsanue bhana, muache akakandwee.Duh,
Hizo Boxer usimpe, atakuwa katumwa na "Fundi" wake utengenezwe mpini uwe unasoma network kwake pekee