Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
- Thread starter
- #21
Na akija anatafunwa yeye mwenyewe anajua sheria ya ghetoAmini amin nakwambia, hiyo siku penzi litafufuliwa upya maana lazima mechi itapigwa hiyo siku.
Ni mbinu za wanawake kujifanya anakuja kuchukua vitu vyake ila huwezi amini hiyo siku atakuja amejipodoa kuliko siku zote na atavalia kimitego ili umle na penzi liendelee.
Tuliosoma kwa the Late Fidel Castro pekee ndiyo huwa tunajua hizi codes.
Mark my words