Rose anakuja kuchukua boxers na vibakuli vyake vya udongo baada ya kuachana

Ila hawa watu wenye majina ya rose sijui wanakuaga na mapema gani
Amini amin nakwambia, hiyo siku penzi litafufuliwa upya maana lazima mechi itapigwa hiyo siku.
Ni mbinu za wanawake kujifanya anakuja kuchukua vitu vyake ila huwezi amini hiyo siku atakuja amejipodoa kuliko siku zote na atavalia kimitego ili umle na penzi liendelee.
Tuliosoma kwa the Late Fidel Castro pekee ndiyo huwa tunajua hizi codes.
Mark my words
 
Na pia kupasha kiporo kuna raha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…