Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
- Thread starter
-
- #21
Na akija anatafunwa yeye mwenyewe anajua sheria ya ghetoAmini amin nakwambia, hiyo siku penzi litafufuliwa upya maana lazima mechi itapigwa hiyo siku.
Ni mbinu za wanawake kujifanya anakuja kuchukua vitu vyake ila huwezi amini hiyo siku atakuja amejipodoa kuliko siku zote na atavalia kimitego ili umle na penzi liendelee.
Tuliosoma kwa the Late Fidel Castro pekee ndiyo huwa tunajua hizi codes.
Mark my words
Akija ameishaBoxer ni kitu Cha kufata!?
Anakuja kufufua penzi
Msindikizwe na "Alolo"by mboso
Unadte na watoto wa 2006Ila hawa watu wenye majina ya Rrose sijui wanakuaga na mapepe ganiView attachment 3332952
Ma ex wote mavi wafe! Huyo mwanamke yuko bitter anafeel usedNdio maana ma-ex wanachukiwa! Sio kwa mbanga hizo 😀
hapa hatujui story nzima ikoje, hatuwezi kusema for sure yupi ana makosa.Ma ex wote mavi wafe! Huyo mwanamke yuko bitter anafeel used