Rose Manfere, Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2020

2002 hapakua na mashindano?af vp kuhusu 2009 kua na washind wawili?
 
𝐂𝐕 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐨𝐧𝐲𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐀𝐧𝐚𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐜𝐡𝐮𝐨 𝐤𝐢𝐤𝐮𝐮 𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈 𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐚𝐡 𝐤𝐨𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐈𝐍𝐅𝐎𝐑𝐌𝐀𝐓𝐈𝐎𝐍 𝐒𝐘𝐒𝐘𝐓𝐄 𝐌𝐀𝐍𝐀𝐆𝐄𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐝𝐚𝐡 𝐡𝐚𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚.
 
Jana ilibidi niangalie hichi kitu lakini sikuelewa ni vigezo gani vilitumika kumpa huyu

Kuna yule Yvonne namba 20, ana kichwa kizuri kutokana na anachokizungumza na project ambayo ingelenga pakubwa sana katika kusaidia sekta ya afya yeye alizungumzia ishu ya utapia mlo (malnutrition) kila mtu anajua serikali na Dunia inavyopigania suala la lishe kwa watoto......

More than 40millions children die every year in the world due to this

Ila chaajabu nikaona amepata mwingine, wow sijui lakini Mimi ngoja nipite ila watizame upya.....

Hatuangalii suala la uzuri tunaangalia je, kwenye mashindano ya Dunia ataweza kufit?
 
Kwa Mimi na mkosoa Miss Tanzania kifuani maziwa yamelala tunataka chuchu saa sita
 
Kumbe haya mashindano bado yapo nilikuwa Sina habari
 
Ila kwa Sasa unafuatilia kisirisiri?
Sifuatilii mkuu, na ndio maana huwa siwajui kwa sura wala majina.

Ila kuanzia Wema Sepetu kurudi miaka ya nyuma naweza nikakutajia wote na sura zao nazijua.
 
nimepitia page yake naona alianza harakati kitambo,

halafu hizo projects zao zinakuwaga za makaratasi tu
 
Ni Mimi nimepoteza interest au ni nini. Maana miaka ya karibu na 2000 + or - ma miss tumekua tukiwajua kisawa sawa utafikiri mawaziri flani. Lakini nipo hapa naisoma hii list nimejishangaa kuanzia 2007 mpaka sasa sijui hao mamiss kabisa.
.japo nakiri kuna mzuka flani wa miss now days hauko km zamani.
 

Dah huyo manzi kama utani ani, yuko zake pale ardhi anapiga ICT na mdogo wangu afu best friends kinoma, dogo ananionyesha picha zao anasema anacontest taji la urembo nikawa nachukulia masihara, dah siamin kwa kweli! Hongera zake sana!
 
Shindano hili lilikuwa limeshapoteza dira......lkn aliyekuja kumaliza kabisa no mange baada ya kutoa Siri kwamba walifanya figisu na kumpa ushindi wema sepetu mwaka 2006..badala ya kumpa aliyepaswa kushinda ambaye no Jokate
Wema ki beberu kilimbeba Ni moja ya vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…