Tetesi: Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe

Tetesi: Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe

Armenia leo waziri mkuu ameondolewa madarakani na nguvu ya umma huko saa hizi ni sherehe.
Waziri mkuu wa Armenia amemaliza vipindi vyake viwili vya miaka mitano mitano kama Rais na kuamua kufanya uhuni wa kubadili katiba kutoka presidential system kwenda Parliamentary system na kujichagua kuwa Waziri Mkuu tena. Ambaye amefanya huu uhuni Tz ni Nkurunzinza Mbowe kwa kuwa mwenyekiti wa maisha CDM.
KATAA KUWA NYUMBXXX.
 
hahahahahaah
 
Kamanda wa hivi?, Chadema mtaolewa wootee! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawa watu wanachekesha watazuia wangapi maandamano yapo pale pale tarehe 26/4 mambo ni moto
 
Kwanza watanzania wapo ktk maandamano kila siku.
Just shithole tu.

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
 
hmm!!! daima uongo hauna nguvu kuishinda kweli, pole kamanda....!!!
 
Tarehe 26 mwezi wa 4 ni noma aisee! They're trying soo hard to find the CHADEMA connection there but in vain.
Mwenzenu anakula bata Marekani acheni ujinga. Chapeni kazi acheni kupoteza muda wenu, wetu na mapolisi. Wastage of time!
 
Back
Top Bottom