Tetesi: Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe

Tetesi: Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe

My love Rose Mayemba

Wewe si una jiita kamanda? Sasa kamanda gani una kamatwa? Kwanini usipambane kamanda? Wewe ni kamanda wa mabox basi
nilikukanya wala hukusikia sasa una vuna ulicho panda na wala ubunge wa viti maalum hajapewa pamoja na kuahidiwa....
 
Kuna taarifa kuwa Kamanda Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe, taarifa za awali wanasema ni Uchochezi wa Maandamano!!

Yupo mikononi mwa Polisi muda huu na wanapanga kwenda kumfanyia upekuzi Nyumbani kwake

Mlioko Njombe tafadhari fuatilieni jambo hili.
Edwin Enosy Swalle Advocate

Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
 
Kumbe mrembo hivi. Msalimieni mrembo Mayembe Rose huko aliko
 
Thread kama hizi moderators wa jf kicheko lakini za wazalendo wanazinyonga kwelikweli, haya uwanja wenu huu lakini
 
Back
Top Bottom