Akamatwe tuKuna taarifa kuwa Kamanda Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe, taarifa za awali wanasema ni Uchochezi wa Maandamano!!
Yupo mikononi mwa Polisi muda huu na wanapanga kwenda kumfanyia upekuzi Nyumbani kwake
Mlioko Njombe tafadhari fuatilieni jambo hili.
Edwin Enosy Swalle Advocate
mbona amevaa nguo inayoobesha ndani?
usipangie watu cha kufanya, hapo ndo tatizo linapoanzia![HASHTAG]#burekabisa[/HASHTAG]Mwenzenu anakula bata Marekani acheni ujinga. Chapeni kazi acheni kupoteza muda wenu, wetu na mapolisi. Wastage of time!
Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .Kuna taarifa kuwa Kamanda Rose Mayemba amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe, taarifa za awali wanasema ni Uchochezi wa Maandamano!!
Yupo mikononi mwa Polisi muda huu na wanapanga kwenda kumfanyia upekuzi Nyumbani kwake
Mlioko Njombe tafadhari fuatilieni jambo hili.
Edwin Enosy Swalle Advocate