Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

Kwahiyo hawana kazi za kufanya mbadala wanategemea ruzuku, waache kubweteka
 
Unadhani kudai demokrasia unakaa nyuma ya keyboard na kuandika tuu?
Hivi nyie mnatumia kiungo gani cha mwili kufikiri?
Isijekuwa huu uchafu wenu wa mawazo unatokea kule kutokeako pia uchafu wa vyakula
Kwa hiyo unataka Hela za kuhonga Watoa demokrasia ili watoe demokrasia au?
 
Kwa hiyo unataka Hela za kuhonga Watoa demokrasia au?
Hata hueleweki upuuzi unaoandika. Unajua kazi ya ruzuku kwa chama? Ndio huo ujenzi wa demokrasia kwa kukabili gharama za safari, machapisho, mikutano na makongamano nk.
Sasa chama baada ya uchafuzi wa 2020 uliosimamiwa na marehemu wa korona mpinga korona hakichukui ruzuku unadhani watafanyaje shughuli?
Ok, Join the Chain YEHODAYA
 
Mnakaribishwa CCM kuunga mkono juhudi za mwenyekiti wetu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUiView attachment 2131671
Chama tawala 2025 kinatisha kwa kutembeza mabakuli.
 
Back
Top Bottom