Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

Saccos inataka kuongeza mtaji!
Ubunifu mujarab,siku chache zijazo tutashuhudia aina nyingi za chain-ccm's,act's,udp' etc chains kama tunavyosikia club houses,digital registration nk.
Hawakawii kukosoa na hatimaye wanaiga.Jiunge na Join The Chain ili kufanikisha harakati za kudai democracy,Katiba Mpya na uchaguzi huru na HAKI na UTU wa Binadamu.
 
Si mlisema mawakili 400 wapenda Chadema wamejitolea hiyo kesi bure wanataka hela tena? Mbona hamueleweki?

Sio wanahitaji hela Bali tunachanga kutambua mchango wao wa kujitoa kutetea demokrasia ya nchi hii iliyoharibiwa na madikteta wa ccm
 
Milioni 500 alizotoa sabodo kujenga Ofisi ziliishia wapi?
 
Back
Top Bottom