Rose Mayemba: Wanachadema toeni michango, tuna njaa kali. Hii njaa ni kali tutashindwa kudai demokrasia

Kwahiyo hawana kazi za kufanya mbadala wanategemea ruzuku, waache kubweteka
 
Unadhani kudai demokrasia unakaa nyuma ya keyboard na kuandika tuu?
Hivi nyie mnatumia kiungo gani cha mwili kufikiri?
Isijekuwa huu uchafu wenu wa mawazo unatokea kule kutokeako pia uchafu wa vyakula
Kwa hiyo unataka Hela za kuhonga Watoa demokrasia ili watoe demokrasia au?
 
Kwa hiyo unataka Hela za kuhonga Watoa demokrasia au?
Hata hueleweki upuuzi unaoandika. Unajua kazi ya ruzuku kwa chama? Ndio huo ujenzi wa demokrasia kwa kukabili gharama za safari, machapisho, mikutano na makongamano nk.
Sasa chama baada ya uchafuzi wa 2020 uliosimamiwa na marehemu wa korona mpinga korona hakichukui ruzuku unadhani watafanyaje shughuli?
Ok, Join the Chain YEHODAYA
 
Mnakaribishwa CCM kuunga mkono juhudi za mwenyekiti wetu.
 
Chama tawala 2025 kinatisha kwa kutembeza mabakuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…