Ubunifu mujarab,siku chache zijazo tutashuhudia aina nyingi za chain-ccm's,act's,udp' etc chains kama tunavyosikia club houses,digital registration nk.
Hawakawii kukosoa na hatimaye wanaiga.Jiunge na Join The Chain ili kufanikisha harakati za kudai democracy,Katiba Mpya na uchaguzi huru na HAKI na UTU wa Binadamu.