Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Wasukuma hawajali Hilo
Tupunguze wivu ,anayeolewa mama Yao sio watoto
Malikia wa mipasho ya kigalatiaWiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania,
Hajatest mitambo kweli huyo!!mwanaume wa pembeni yake aliyevaa t-shirt rangi nyekundu ndiye mume wake mtarajiwa.
Bank statement ieleweke ndio kiburi cha kuolewa bila kujali umrimashangazi yapo on demand asikuambie mtu😂
mambo ya kusema 'wakishavuka 30 hawana soko' yamepitwa na wakati
Rejea Aya yapili kusoma hapo ndo pamenifanya niibue neno wivuTupunguze wivu?
Hii kuhusu wivu imetokea wapi?
Si imeletwa Tu taarifa ya ndoa?
Umetoa wapi hii wivu??
Kwahiyo tuendelee kunywa mtori nyama ziko chini, eti? 🤣🤣mashangazi yapo on demand asikuambie mtu😂
mambo ya kusema 'wakishavuka 30 hawana soko' yamepitwa na wakati
Mkuu kijana pale kaangalia ulaji kwa mwanaume mwenye hela ni ngumu kuoa mwanamke mwenye wa5 tena ni wakubwa ndio maana diamond akienda kule south anajipigia na huyo kibenteni utakuta anarudi kwakeKaolewa zari mwenye watoto 5, na benteni, a.k.a alimuita FALA, mahari msaafu tu,hongera zake mhando.
Hizi ni ramli sasa kwamba wasukuma wote ndo wapo hivyo ? Roho mbaya kakufunza nani mkuu?Huwajui wasukuma dada yangu Rose.
Huko wana ulimi mzuri wakati wa kuchumbiwa subiri kidogo utaona moto!!