Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

ROSE MUHANDO ACHUMBIWA NA KUTAMBULISHWA UKWENI KAHAMA.

View attachment 2774077
Wiki hii imekuwa wiki ya baraka kwa Malkia wa nyimbo za Injili Tanzania, Rose Muhando baada ya kwenda kutambulishwa ukweni Kahama kwa ndugu wa mchumba wake. Kama wanavyoonekana pichani Rose Muhando akiwa na mawifi zake na mwanaume wa pembeni yake aliyevaa t-shirt rangi nyekundu ndiye mume wake mtarajiwa.

Kama atafanikiwa kuolewa na ndoa ikapita salama basi hii itakuwa ndoa yake ya kwanza kwa mwanamama huyo mwenye watoto watatu ambao amezaa na wanaume tofauti.

Mungu awaongoze na ikawe ndoa ya kheri🙏
Kataa ndoa wana maoni gani kuhusu jambo hili?
 
Wanawake tafuteni hela,msidhani sisi tu ndo tunatakiwa tutafute,ona sasa Rose kachumbiwa na jamaa bado kabisa,ukija kwa Zari,anatesa miaka na miaka,ni mwendo wa wanaume wadogowadogo tu,malizia kwa mama Dai... aaah! Tafuteni pesa na nyie.
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom