Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Nimejaribu kupiga hesabu ya Ndoa nilizoziona Mwaka Huu hadi kufikia sasa ni Wanawake zaidi ya 25 wameolewa.

Kati yao mabinti wenye miaka 21 hadi 28 (Slay queen) ni 7

Na Wanawake wa miaka 29 hadi 34 ni 9

Wanawake wenye umri wa miaka 35 na zaidi (Mashangazi) kama wanavyofahamika na Vijana wengi ni 9

Huenda Waoaji wengi wanaangalia Akili za Mwanamke(Maturity) katika kufanya maamuzi ya Kuoa, maana Slay queen wengi huwa ni mapepe na hawajui kutulia.

Kwa trend hii ya Ndoa za Mashangazi inaonesha Umri ni namba tu.

Kila la Kheri Rose Mhando, kwenye hatua inayofuata.
Akiwemo mange
 
Ninavyompenda nimefurahi sana.
Mungu akaweke kheri zake ndoa yao iwe na upendo wa kudumu, Amen.

Kila mwanamke anastahili furaha, I’m happy for you Rose.
Shida mkishazipata tu ndoa mnaanza kuzibomoa
 
Kwanza umuoze mama'ko, tunao vijana wa Kiislam wapo tayari kumuoa hivyo hivyo na ukatoliki wake, Kiislam hiyo rukhsa.

Ili ukirudi nyumbani kuwe na maadili, isibaki kama ilivyuo sasa, kila mwanamme anaeingia kwa mamako unaambiwa "mwamkie baba'ko".

Kijana wa Kiislam ataanza kumfundisha mama'ko na wewe kuhusu Uislam.

Uislam mwema sana.
Dah! Naona sifa zote nilizokupa zimekuwa tofauti kabisa na matarajio! 🙁
 
Back
Top Bottom