Rose Mhando huwa namkuta kituo cha Mwanamboka Kinondoni

Rose Mhando huwa namkuta kituo cha Mwanamboka Kinondoni

Ila kwel rose kayeyuka na kukaa kimia.....tunaomba single nyingine ya xmass pls...ila mleta mada utamuonje mwendo kasi kwan hana private car zake....tajiri yule bana
 
Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu umevuta cha wapi Leo?! Ni ugoro ama ni lile jani ?!
 
Yaah! Huyu mama ndiyo naskia ndiyo mmiliki halali wa GSM!

Home Shopping Center ndiyo yake tena aliifilisi!

Ndiyo aliyo suka mpango mzima wa Fisadi Lowasa kuhamia CDM!!
[emoji134] duuh!!!????
 
Yaah! Huyu mama ndiyo naskia ndiyo mmiliki halali wa GSM!

Home Shopping Center ndiyo yake tena aliifilisi!

Ndiyo aliyo suka mpango mzima wa Fisadi Lowasa kuhamia CDM!!
lowassa alikufisadi nini mkuu? Fanyeni kazi vijana acheni mawazo mgando ya kuona kila mtu mwenye uwezo ni fisadi.

Angekuwa fisadi serikali yote na vyombo vya usalama vingemwacha awe uraiani?

Shirikisha ubongo kabla ya kuongea kijana usiwe mjinga.
 
Nimesikia habari zake,ndio maana hajatoa ngoma mpya eeeh

Ulokole on fleek
 
Weka ushahidi wa picha otherwise we ni muongo.

Chid Beenz tulijionea picha.

Rehema Chalamila tulijionea picha.

Ila huyo Rose huu ni mwaka wa 3 kila siku mnasema kawa teja bila kuweka ushahidi.
 
Huwa unamkuta hapo akifanya nini labda?
 
Usipende sana Pichas...

OVA
Weka ushahidi wa picha otherwise we ni muongo.

Chid Beenz tulijionea picha.

Rehema Chalamila tulijionea picha.

Ila huyo Rose huu ni mwaka wa 3 kila siku mnasema kawa teja bila kuweka ushahidi.
 
Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
nasikia Mwanamboka ndo tajiri wa kwanza nchini,kweli?
 
nasikia Mwanamboka ndo tajiri wa kwanza nchini,kweli?
Dah umenikumbusha alikuwa n'a mtoto wake anaitwa nas alikuwa miongoni wa watu kwanza kutumiaa ngada...alipelekwa sana ulaya kwa ajili ya matibabu Lkn olaaaa
Alikuwa mwana sanaaa....

OVA
 
We endelea kufikiria umaarufu,gari likiwaka zaidi Ndy utanielewaaa

OVA
Nitaliwasha kwa mambo Yangu binafsi ila siwezi kuvalia njuga mambo ya watu ...atajua mwenyewe na mungu wake....na wewe angalia maisha yako ,ukianza kuyapa mambo ya watu kipaumbele utaelemewa ndugu.....

Over........over.......over.......100000000^10000000
 
Back
Top Bottom