iwamusani
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 335
- 316
Wewe ni miongoni mwa waliolipiwa fidia...now wako uraiani?...endelea kujitekenya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni miongoni mwa waliolipiwa fidia...now wako uraiani?...endelea kujitekenya...
Uponyaji wa kimiujiza, mtu kupata kazi na fedha kimiujiza, kupata wachumba na ndoa, disco kali la kukesha, toa ndugu na mambo kama hayo. Hata mabango yao hayatofautiani ktk huduma zitolewazo kwao na zile sijui za akna nani maarufu kutoka Nigeria au ufipa, wako sawa sana kihuduma. Watu wanataka kuinjoi hapahapa hiyo pepo hawana hata uwakika nayo.Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?
manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba
huko makanisani kuna nini?
Nasikia palipo na Mungu, shetani nae anaweka kiti chakePole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?
manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba
huko makanisani kuna nini?
Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....
OVA
Mtoto wa kiume kama wewe kuwa Mmbea na muongomuongo mitandaoni ni aibu sana. Njoo Pm nikuelekeze namna ya kupata "Dera" nililokununulia maana siku hizi nyie tunawavesha "Madera" tuuWewe ni miongoni mwa waliolipiwa fidia...now wako uraiani?...endelea kujitekenya...
Duuuuuuuuuuuuuuuuh yani wewe jamaa weweeeeYaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Syo diwani yupo mmja Ana mitatoo kama lil wyn jina limenitoka.....kdg
Ova
Mapromota wa Tanzania wanakuwa matajiri kupitia migongo ya watu mfano mzuri ni msama sasa hivi rose mhando hana hata senti anahangaika msama kamfanya dada wa watu hana hata senti kisa msama anataka afanye anavyotaka nadhani kuna haja ya serikali kufuatilia mapromota kama hawa akina msamaHivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....
OVA
Kama ni uzushi au unaandika habari za kuambiwa zisizo na uhakika tambua unajipa laana wewe na kizazi chako, na siku ya mwisho utalipia, hakikisha umeandika kitu ulicho na uhakika nacho, hata hivyo yeye pia niwanadamu kama mimi na wewe tunaweza kupotea tuHivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....
OVA
makorokocho.Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Nimelewa bila kunywa.Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?
manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba
huko makanisani kuna nini?
The Boss, biblia takatifu inatutaka tuyaache magugu yaliyomea katikati ya ngano mpaka wakati wa mavuno.Mkuu hatari sana tena namkutaga na yule motto wa mch lwak mtoto wake kikubwa wangalie namna gani ya kumsaudia...wengine Sisi tukizungumza issues hizi tuna data zaidi ya picha
Ova
HAWA NI WALE WANAOMTEGEME ROHO MTAKA VITU SIO ROHO MTAKATIFU,OVA!Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?
manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba
huko makanisani kuna nini?
unamjua maria wwNimekufuatilia mpaka hapa wewe ni muongo tena unatenda dhambi sana. Mtoto wa Mama Lwakatare diwani anaitwa Mutta na ndio last born! sasa huyo mdogo wake ni yupi? Kama hamuwajui watu msipende kuwazushia uwongo, ndio maana mnabaki kuwa maskini kila siku sababu ya kuwazushia watu uwongo. Nakushauri ubadilike mkuu. Maana hao watoto wa Mama Lwakatare unaowazushia kwanza huwajui alafu wenzako kimaisha washatusua yaani hawana njaa. Its better ukawa busy na mambo yako kuliko kuja kwenye mitandao kuchafua watu usiowajua.
Kweli nimeamini wabongo nuksi!
Tatizo sina muda wa kufuatilia maisha ya watu...niko busy na maisha yangu na kusaka hela...unamjua maria ww