Kwahivyo asimsubirie hata mtu sehemu anayoiona ni rahisi kumwelekeza mtu?! Kweli umaarufu ni gharama.........Abiria bado hawajanza kutumia kituo hicho CHA nyuma ya mwanamboka
OVA
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu umevuta cha wapi Leo?! Ni ugoro ama ni lile jani ?!Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Yani wewee, Mungu anakuonaYaah! Huyu mama ndiyo naskia ndiyo mmiliki halali wa GSM!
Home Shopping Center ndiyo yake tena aliifilisi!
Ndiyo aliyo suka mpango mzima wa Fisadi Lowasa kuhamia CDM!!
[emoji134] duuh!!!????Yaah! Huyu mama ndiyo naskia ndiyo mmiliki halali wa GSM!
Home Shopping Center ndiyo yake tena aliifilisi!
Ndiyo aliyo suka mpango mzima wa Fisadi Lowasa kuhamia CDM!!
lowassa alikufisadi nini mkuu? Fanyeni kazi vijana acheni mawazo mgando ya kuona kila mtu mwenye uwezo ni fisadi.Yaah! Huyu mama ndiyo naskia ndiyo mmiliki halali wa GSM!
Home Shopping Center ndiyo yake tena aliifilisi!
Ndiyo aliyo suka mpango mzima wa Fisadi Lowasa kuhamia CDM!!
huyo mtoto wa mama lwak anatumia unga au anauza? si anauza tu yule au?Mtoto yupi? yule aliepata udiwani mwaka jana?
si nasikia amepona yule?
yule diwani?Anautumi....
OVA
nasikia Mwanamboka ndo tajiri wa kwanza nchini,kweli?Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Dah umenikumbusha alikuwa n'a mtoto wake anaitwa nas alikuwa miongoni wa watu kwanza kutumiaa ngada...alipelekwa sana ulaya kwa ajili ya matibabu Lkn olaaaanasikia Mwanamboka ndo tajiri wa kwanza nchini,kweli?
Nitaliwasha kwa mambo Yangu binafsi ila siwezi kuvalia njuga mambo ya watu ...atajua mwenyewe na mungu wake....na wewe angalia maisha yako ,ukianza kuyapa mambo ya watu kipaumbele utaelemewa ndugu.....We endelea kufikiria umaarufu,gari likiwaka zaidi Ndy utanielewaaa
OVA