Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Wewe ndio huwajui watu alafu nakusikitikia sana..sababu hao unaowazushia wana uwezo wa kukufunga.
Wewe ni bora ukae kimya tu, sababu hao kina Lwakatare huwajui!
Kwa muda mrefu kuns rumars kwamba Rose Muhando teja!!!!sijui kk makonda hajaskua uvumi huuHivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....
OVA
habari bila picha ni sawa na kunywa pombe bila kulewa hainogi,raha ya pombe kulewa
basi usijifanye sana kuzijua familia za watu...funga bakuli lakoTatizo sina muda wa kufuatilia maisha ya watu...niko busy na maisha yangu na kusaka hela...
Yule hana tofaut na nandi..mziki biasharaKama ni uzushi au unaandika habari za kuambiwa zisizo na uhakika tambua unajipa laana wewe na kizazi chako, na siku ya mwisho utalipia, hakikisha umeandika kitu ulicho na uhakika nacho, hata hivyo yeye pia niwanadamu kama mimi na wewe tunaweza kupotea tu
ndio maana binafsi huwa naamini MUNGU na SHETANI ni maswahiba zaidi ya tunavyopotoshwa...Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?
manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba
huko makanisani kuna nini?
We huwa unaenda kuyfanya nini?Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....
OVA
Nimesoma comment nyingi humu jf ila sijawahi kukutana na comment Tata Kama hii hat off to you sirYaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Asante bwana Mkubwa bingwa wa kujua watu Mjini! Ngoja niendelee kufunga hesabu hapa ofisini.basi usijifanye sana kuzijua familia za watu...funga bakuli lako
Heshima kwako mkuu naona kuna watu walikupinga sana humu ndani!Tulisema tangia 2016 leo ndy watu wanashtuka......wengine sisi misele mingi tunakutana na mambo mengi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hahaha, unakuta MTU anayebisha anaishi huko Chato hata Dar haijuiTulisema tangia 2016 leo ndy watu wanashtuka......wengine sisi misele mingi tunakutana na mambo mengi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Ndomana siku hzi tumeamua kusugua hatuleti habari wala kushusha nondoHahaha, unakuta MTU anayebisha anaishi huko Chato hata Dar haijui