Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Msanii nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania Bi Rose Muhando ameibuka katika kanisa moja nchini Kenya akiwa amechomwa moto mikono na sehemu mbalimbali za mwili wake huku uso wake ukiwa na majeraha kiasi cha kuonekana mithili ya kinyago ikiaminika ni sababu za ushirikina kwani alitoweka nyumbani kwake miezi mitatu ambapo alikutwa akizurura mitaani na barabarani akiwa hajielewi.

Fuatilia link hii ujionee


Mungu wetu ni muaminifu, ukimtumikia kwa uaminifu kamwe hatakuacha ibilisi akuchezee....
 
Msanii nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania Bi Rose Muhando ameibuka katika kanisa moja nchini Kenya akiwa amechomwa moto mikono na sehemu mbalimbali za mwili wake huku uso wake ukiwa na majeraha kiasi cha kuonekana mithili ya kinyago ikiaminika ni sababu za ushirikina kwani alitoweka nyumbani kwake miezi mitatu ambapo alikutwa akizurura mitaani na barabarani akiwa hajielewi.

Fuatilia link hii ujionee


Mungu wetu ni muaminifu, ukimtumikia kwa uaminifu kamwe hatakuacha ibilisi akuchezee....
 
Usanii at work. Hadi anaweza kuweka vizuri siketi ili asimwage razi.
 
Ukiendekeza sana dini mwishowe unakuwa kama huyu bibie….matukio mengi sana tumeyaona kwa waliokuwa wanajifanya wanamjuwa Mungu shinda wenzao. Wote wameishia hivi hivi na wengine kuwa vichaa kabisa. Ndiyo maana mtu akiniambia nimeokoka huwa namuangalia tu kwani najuwa siku zake za uendawazimu haziko mbali. Mtu utaokokaje ikiwa bado unatombana, mbea kupindukia, mnafiki wa kujifanya unamjuwa Mungu shinda wenzako, na unamatamanio? Walokole Wacheni kujidanganya, mnajilaani hivyo mjuwe, shauri zenu.
 
Msama sio ama wakt ule anaKubebesha bwimbwi hakuwa mbaya tatz lako ulikuwa unauonja, hukukaa nao mbali kama diamond mwenzako hakuugusa kbsa wamuona leo anakula nchi
 

Sifa na utukufu ni kwako Bwana Yesu. Hakika Yesu unastahili kuabudiwa wewe pekee. Ila baaada ya kuangalia hii video kuna vitu vimenichanganya. Kabla ya kuangalia hii video, nilikuwa nafahamu kwamba mtu akiwa anafanyiwa au kutolewa mapepo huwa anakuwa sio yeye tena au hajitambui. Pia mara nyingi huwa anakuwa hana ufahamu wa mambo yanayo endelea kwenye zoezi zima, ndio maana mara nyingi watu wanao pagawa mapepo ujirusha rusha wengine paka wana jijeruhi basipo kujuwa. Wengine uchana mavazi na kubaki uchi pia hata kupigana na kutukana watumishi wa Mungu pasipo kufahamu.

Ukiangalia hii video, kuanzia 0.22 paka 0.23 unaweza kuona kama Rose anajaribu kushusha gauni au nguo chini kujisitiri. Tena 1.45 paka 1.48 Unaweza kuona kama mchungaji anamkandamiza kwa nguvu Rose mdomoni, lakini Rose anajaribu kumwondoa mkono mchungaji. nadhani hii ni ishara kwamba " tafadhali unaniumiza". Pia 2.00 paka 2.01 kuna mhudumu amemtupia Rose kitu kama khanga, alafu Rose akajaribu kama kuivuta kwa juu ili kujisitiri. Baada ya kusema hivyo, sina shaka dada yetu Rose alikuwa anajielewa kwenye zoezi zima. Je kitu kama hichi kinaweza kutokea? mtu kupagawa mapepo na wati huo huo kujitambua!

Nakaribisha watumishi wote na watu wenye uwelewa kwenye hii mada.
 
Sipendi UZUSHI, ila nimewahi KUSIKIA, Na inweza isiwe kweli. Kwamba alikuwa anatumia UNGA. Nilisikitika ingawa sikuwa na uhakika na hili na sina uhakika nalo. Ila ninavyomuona na anavyosema miezi mitatu hayuko nyumbani, Nahisi labda alikuwa Rehab anatakasika, au anatakaswa mwili. Kweli ni mapito na tunamuombea Apite salama.
 
Inavyomekana huyo Rose Mhando kapelekwa hapo kwa ajiri ya maombi kutokana na situation aliyokuwa nayo,i si yeye kajipeleka hapo, ila huyo jamaa ni tapeli tu, na ndio maana analazimisha mambo.
 
Niliposikia Rose Mhamdo kaingia mkataba na Sony, nilijua something is wrong somewhere, lilikuwa ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…