Wajinga ndio waliwao kaka. Yaani utapeli mtupu lakini kuna viumbe vinaamini huo usanii.Usanii at work. Hadi anaweza kuweka vizuri siketi ili asimwage razi.
niliona kwa lulunation au kwa yule dada wa kikenya zhura1 nahisi kama sjakosea spellin ya id yakeNiko wii lakini leo sijapita pita huko.
Iko kwa nani nikaichungulie ?
.... Na kuvaa kutoharibika.....Tabu zangu zikiisha, Pole bibie huu wimbo wako ukufariji
Ngoja kuche nitakuja na post kamiliMimi natakujua baada ya hilo Igizo la Futuhi Rose alilipwa shilingi ngapi...?
Indeed walahiMental problems, she needs treatment
kama ALIKUWA na mtumikia Mungu kisawasawa, inakuwaje analogeka
Ndio maana hawa watu siwaamini maishani mwangwakama ALIKUWA na mtumikia Mungu kisawasawa, inakuwaje analogeka
usanii tu hapa ilipangwa dili ili kulitangaza hilo kanisaMsanii nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania Bi Rose Muhando ameibuka katika kanisa moja nchini Kenya akiwa amechomwa moto mikono na sehemu mbalimbali za mwili wake huku uso wake ukiwa na majeraha kiasi cha kuonekana mithili ya kinyago ikiaminika ni sababu za ushirikina kwani alitoweka nyumbani kwake miezi mitatu ambapo alikutwa akizurura mitaani na barabarani akiwa hajielewi.
Fuatilia link hii ujionee
Mungu wetu ni muaminifu, ukimtumikia kwa uaminifu kamwe hatakuacha ibilisi akuchezee....
Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya
Attention pls!! Huo ni Uzushi. Hiyo SIO Rose Muhando.Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho
Mkuu Umeona usanii mtupuUsanii at work. Hadi anaweza kuweka vizuri siketi ili asimwage razi.